Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Sumaye atazunguka na Lowassa nchi nzima kwenye kampeni.
Kazi ya Sumaye ni kuwajibu magamba na watoa povu wote wa Ccm
Na kazi ya Lowassa ni kuinadi ilani ya ukawa na kuwaamsha wapiga kura waliolala usingizini.
Na rasmi combination hii imeanzia Iringa na kesho itakuwa njombe.