Fredrick Sumaye "nyota wa mchezo"

Fredrick Sumaye "nyota wa mchezo"

Hatuhitaji kuremba katika kuwaeleza wananchi ukweli wa mambo ili wafanye maamuzi sahihi. Sumaye anastahili pongezi!
Zama za kudanganyana zimepita!
 
Sumaye ameingia Chadema kwa kuwa Ana uhakika wa kugombea urais kupitia chadema kwa fununu za mtabiri kuwa mgombea urais mmoja anaweza kufa
 
Hakika alistahili, huyu mzee ni noumaaah!

siku ya ufunguzi wa kampeni za ukawa JANGWANI niliamini ccm ni mabingwa wa kuharibu vipaji, PAMOJA NA KUPEWA UWAZIRI MKUU, kipaji cha SUMAYE HAKIKUTUMIKA VIZURI KULIENDELEZA TAIFA HILI!
 
ccm walikua wanauwa kipaji cha sumaye sasa ivi yuko huru anaonyesha kipaji chake
 
Back
Top Bottom