Milangoni itakua myembamba hawezi kupita kwa ubonge alionao? au unamaanisha nini?Alivyokuwa bonge nw mwakalebela akienda jela si balaa
Milangoni itakua myembamba hawezi kupita kwa ubonge alionao? au unamaanisha nini?
labda anahofia wajelajela watamuonea.
hahahaaa,watamwoneaje mkuu?
huyu si ndio alikuwa na kesi ya rushwa uchaguzi wa kupata mwakilishi(ccm) ubunge 2010??