Hata Mayele ilisemwa hivi hiviGUEDE tumepigwa.
Mashabiki njaa hawa. Guede ndiyo kwanza kacheza match moja tu tayari umeshaona hafai!
Hata Konkoni pia ilisemwa hivi hivi
Umepigwa wapi?GUEDE tumepigwa.
Zamani ukisalimiwaUmepigwa wapi?
Zamani ukisalimiwa
"Mambo"
Unajibu
Gwede Gwede.
Sasa hata kama hafikii kiwango cha Mayele ndio acheze kama KonkoniTatizo watu wanataka Guede acheze kama Mayele.
Kitu ambacho hakiwezekani.
Bila kukifikia kiwango cha Mayele au kumzidi, Wanayanga hawata ridhika naye.
Nipo hapa napata Kahawa.
SawaZamani ukisalimiwa
"Mambo"
Unajibu
Gwede Gwede.
Mbona unateseka sana?Sasa hata kama hafikii kiwango cha Mayele ndio acheze kama Konkoni
Zamani ukisalimiwa
"Mambo"
Unajibu
Gwede Gwede.