Haya tumekusikia! na wewe umefanya yapi ya kujivunia na utuandikie ma % % yako!!Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.
Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.
Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.
Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.
Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.
Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?
Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)
Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
Hilo kwetu siyo muhimu hatakidogo. cha muhimu kwa sasa CCM OUT, baada ya hapo ndiyo tuanze kujadili hayo mambo yako.
Brother,,huna mvuto:sitakujibu,,,nimesoma post zako: we ni tambala la deki
jengele!!!?,. Ni sawa na kula samaki aliye vuliwa kwa sumu ukijua utahara halafu unadai mambo
mengine badae. Lofaaaaaaaa
ndio maana unaishia kuajiriwa. Tena na watu binafsi. Baba yako hakukufundisha namna itakayokufanya kuwa muajir...
Mhh!!! Pasco ni wewe?Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!.
Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.
Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.
Pole!,
Pasco
Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.
Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.
Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.
Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.
Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.
Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?
Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)
Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
Wewe unamiliki nini? Mbwa???
Namiliki amani yangu na papuchi la mkeo
Wewe unamiliki nini? Mbwa???
Sawa tumesikia........kuna la zaidi.........?.......vipi kuhusu upande mwingine.........?......
Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!.
Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.
Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.
Pole!,
Pasco
Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.
Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.
Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.
Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.
Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.
Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?
Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)
Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
Sina wasiwasi sababu #HAPAKAZITU
Pasco,Mkuu waandishi wote Tanzania mmeshindwa kutudokeza wale watu wa nne walioenda na Dr.W.Slaa south ni kina nani na wanatoka kada ipi?!
Vipi na mzigo aliopewa mwenye kheri huyu wa kula mihogo na mandondo?!?b
Au waandishi nyinyi mnashindwa hata na wanaoshinda kwenye masina gogi na madhahabuni?!!
Au mtasema kuwa Gwajima muongo?!
Cc Pasco
wapumbavu pasco na mbilikimo nyerere ndo mnahaminishwa kuwa shivacom ni ya sumahiya,,,,poleni sana
Pili,alphatel imeusika kukwepa kodi na kuuza vocha feki: hiyo siyo biashara halali:
Wote wawili hamumjui Freddy,,mnajipendekeza: Nifafanunulieni nyumba ya Malta ya mkwewe Lowassa: ameinunua kwa dola 390,000:
Kabla mapovu hayajawatoka nitajie tu jina la huyo mkewe kama kweli unamjua,
PASCO kumbe we ni sawa na Yericho,pole sana
Shivacom ni ya ROSTAM, nasema kwa SAUTI KUBWA na vielelezo vipo: Sumahiya is just a beneficiary;
Mnajifanya mna data za nchi,,kumbe Posta mmeiona juzi juzi
Tupo bar, umeme umekatika ghafla mtu kasema Pesema peopleeeeees Bar nzima imeitikia Powerrrrrrrr.
Jamaa akadakia hapa kazo tuu akajibiwa " Kazi gizani?? Huo ni uzizi"
Sasa umekuja kutuuliza nini!? Wakati umbea wote uko nao!!
Mimtu mingine bana!!?
Umbea tu!!!!