Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Tuwee na makampuni yenye share za riz moko na mama salmaa
 
mtoto wa fisadi papa nae arithi ufisadi wa baba yake, natamani mali zao zitaifishwe
 

masikini pasco! baada ya kujificha kwa muda mrefu sasa umeamua kuja front kutetea mkate wako! kila la heri kwenye hili galasa ulilochagua!lets hop no one has an ACE in CCM.., maana kwa mwendo unavyokwenda.., waweza kosa mti wa kuparamia november 2015!

Ushauri wangu kama mwanajamvi.., penda kwa kiasi, shabikia kwa kiasi, sapoti kwa kiasi, hakuna haja ya kujiapiza..,
 
ni rais wako ukipenda hamia kwake. sisi tutamchagua tingatinga oct 25.
 
Huyu ataishia kuwa Rais wa mitandaoni tu. Acha kuweweseka.
 
Huyo Fred lowassa mbona mi siifahamu sura yake mwenye picha yake
 

wapumbavu pasco na mbilikimo nyerere ndo mnahaminishwa kuwa shivacom ni ya sumahiya,,,,poleni sana

Pili,alphatel imeusika kukwepa kodi na kuuza vocha feki: hiyo siyo biashara halali:

Wote wawili hamumjui Freddy,,mnajipendekeza: Nifafanunulieni nyumba ya Malta ya mkwewe Lowassa: ameinunua kwa dola 390,000:

Kabla mapovu hayajawatoka nitajie tu jina la huyo mkewe kama kweli unamjua,

PASCO kumbe we ni sawa na Yericho,pole sana

Shivacom ni ya ROSTAM, nasema kwa SAUTI KUBWA na vielelezo vipo: Sumahiya is just a beneficiary;

Mnajifanya mna data za nchi,,kumbe Posta mmeiona juzi juzi
 

Pasco anakwambia ukweli,usiparamie mambo
 
Yaani watu wasiwe matajiri kisa ww utashangaa?hebu tuache mawazo ya kimaskin, fanya kazi kwa bidii,muheshimu Mungu hatokuacha...
 
Ukiwa huna kitu, wote wenye vitu huonekana wa ajabu. Ndio shida ya umaskini hiyo.
 
Wananchi tumeshaamu,tumegundua mfumo ndio ulileta yote hayo ndio maana tunataka ung'ooke. Hata mimi na wewe tunguwa ndani ya utawala huu mfumo wa ufisadi na kulindana ungetubeba tu!
 

Umekula mihogo kenge wewe lafa lafa lafa
 

Wewe dingi yako alikua wapi nayeye si angepiga dili mkajenge urusi kabisa ili uache teseka na buku saba za lumumba.

Enhe ebu taja na nyingine dah kumbe hawa ndio wanafaa kabisa. Sasa kura yangu kwa lowasa ni hakika
 

Sema rais wako sio wetu,,, bnafsi siko tayar kuongozwa na huyo kibaka
 
Huyo Fred lowassa mbona mi siifahamu sura yake mwenye picha yake


Hapo yupo na MUUZA MADAWA YA KULEVYA(COCAINE;HEROINE) number moja kushoto,,,Wote hao na Kinje wanaombea Mzee aingie ikulu ili wamalize kabisa vijana wa dar es salaam kwa unga( unga ndo ajira ya lowassa kwa watanzania)
 

Attachments

  • mpigaji.jpg
    52.8 KB · Views: 1,081
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…