Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Kuna watu wanadhani kuwa MASIKINI ndo sofa..that is pathetic!!!
 
Tutayajadili haya baada ya kuitoa CCM madarakani!
 

Wewe badala ya kufanya kazi kwa bidii ufanikiwe unaanza majungu tu ,alafu ukiolewa unaanza kupiga kelele wacha kuwa na akili za ki uvccm
 
Do not sit on your ass wondering, do something !!! tafuta na wewe utapata, sio kukaa kulalamika tu ! unafikiri kulalamika no kutakuletea chakula cha wanao mezani ?
 
Do not sit on your ass wondering, do something !!! tafuta na wewe utapata, sio kukaa kulalamika tu ! unafikiri kulalamika no kutakuletea chakula cha wanao mezani ?

Tafuta nawe utapata??
Babake fred anaahidi watu vitu vya bure
 

tafuta na wewe
 
Hata iweje...Tutamchagua EDWARD LOWASSA kuwa rais wetu mwaka 2015-2020.
 
Umekuja kuandika mada kama mngese unayepigiliwa u kuni...
Unashanga utajiri wa fresh lowasa shangaa utajiri wa rizmoko fa...la mkubw.
Acha kuandika uzi wa kimbeambea we lzma utakuwa sh...o...ga tu
 

Mbona KENYA hawahoji utajiri wa Uhuru Kenyatta, Tz hamfikirii mbali zenu ni kuleta vikwazo kwa struggke za mtu, wanapozitoa wengine pesa na yeye kazitoa huku huku....nchi za wengine lazima uwe na pesa ya kutosha ndio wakupe dola. Fanya kazi ww acha umbea....
 
Mnafki tu na mwandiko mbaya muone kwana ulikuwa wapi siku zote ???

we ni K / Me ??
 
Hawahoji kwa sababu wanajua Kenyatta family tangu zamani ina biashara wanazozielewa na hawajazilitia mashaka!
 


hivi vitu Nyerere alivikataa toka zamani. Mtu anaiba hela za umma halafu anamwandika mwanae kuwa ndio mmiliki, na watu wa kuchunguza vitu kama hivyo wapo. Ndio maana tunataka iundwe takukuru ya kichunguza takukuru tuliyonayo sasa.

kuna wimbo sjui kaimba nani, kuna kipande katika huo wimbo kinasema (ndio maan riz moko halingani na Mako.) Ukiangalia Mako kakaa ikulu miaka 23 tunagonga naye viroba uswahilini, lakini riz moko kakaa ikulu miaka 10 pale kwenye ile club anayoenda anawanunulia washikaji wake pombe mpaka za million 5 na analipa cash.

Kuna vitu lazima kuvipitia upya watoto wa wakubwa wanachumia vivulini na kulia kwenye viyoyozi. wakati wanyonge tunachumia juani na kulia hukohuko juani
 
Wamepata kutokana na ufisadi uliokisiri wa EDO.....Na mwaka huu 25 october 2015 hatajuta tumepanga kumuonesha kilichomtoa kanga manyoya....
 

Familia yako ndo ilichelewa kufikiri utajiri,mngewaza vema hata nyie mngekuwa nazo. lowassa alikua na maono ya mbali ndo maana aliwekeza mapema, chuma hunoa chuma, tajiri humfanya mwenzake tajiri,rostam rafiki Wa lowasa; wewe rafiki yako nani?, tafuta hela sio kushangaa mataa mjini, fikiri kabla hujafikiriwa
 
Anaandika Pascal Mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…