Baba Yake lowasa ndiye alivumbua madini ya tanzanite pale mererani Kwa hiyo jibu ndiyo hilo.
Lowassa Atosha! CCM imefikia UKOMO wake! Lazima tuipige chini!
ukizeeka utakuwa mchawi
Sawa tumesikia........kuna la zaidi.........?.......vipi kuhusu upande mwingine.........?......
sijakataa,,atufundishe na sisi kupiga mavitu basi,,mbona wanapiga wenyewe tu,,tupige wote
Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam *Jambazi* Azizi.
Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam *Jambazi* Azizi.
Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.
Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.
Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.
Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.
Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?
Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)
Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
sijakataa,,atufundishe na sisi kupiga mavitu basi,,mbona wanapiga wenyewe tu,,tupige wote
Unagongwa. Wakati Lowasa anawekeza pesa zake kwa faida yake na watoto wake wewe babaako alikuwa anakesha msondo!
Sasahivi unalalama na kujifanya unawajua sana wanaume wa mjini. Ushauri wangu ni mdogo tu nenda na wewe ukaolewe na Fredy uwe mke wa pili umiliki hisa kama mkewe wa kwanza.