Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

mkonozi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
300
Reaction score
197
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
 
Sawa tumesikia........kuna la zaidi.........?.......vipi kuhusu upande mwingine.........?......

upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza
 
Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam *Jambazi* Azizi.
Mkuu
mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.

Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.

Unakabili
wa na tatizo la wivu wa kike wa umasikini wa kuwa na chuki kwa kila mwenye nacho!, sisi wengine ni umasikini tumezoea, tena ni masikini jeuri, kama Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!, hatuna wivu na wenye nacho, ndio maana tumewakaribisha kwetu!, tumeridhika na umasikini wetu ndio maana kila siku tunaendelea kuichagua CCM huku ikituzidishia tuu huu umasikini!, ila tarehe 25 October, tutasema basi!.

Ila
na wewe if you can, just get rich or die trying!.
If you can't, I feel
sorry for you!, acha
wivu!.

Pole!,

Pasco
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam *Jambazi* Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

Unagongwa. Wakati Lowasa anawekeza pesa zake kwa faida yake na watoto wake wewe babaako alikuwa anakesha msondo!
Sasahivi unalalama na kujifanya unawajua sana wanaume wa mjini. Ushauri wangu ni mdogo tu nenda na wewe ukaolewe na Fredy uwe mke wa pili umiliki hisa kama mkewe wa kwanza.
 
Ngoja nikuitie TCRA I hope una evidence
Na pia ungetuambia na upande wa pili (miCCM) wana nini! Mmejilimbikizia mali halafu unakuja kutuhadaa....enzi za waTanzania wapumbavu zimeshapita umechelewa!
Tuandikie hapa Kikwete na familia yake wana nini, Pinda, Makinda, Chenge, Wassira, Kinana etc
 
Unagongwa. Wakati Lowasa anawekeza pesa zake kwa faida yake na watoto wake wewe babaako alikuwa anakesha msondo!
Sasahivi unalalama na kujifanya unawajua sana wanaume wa mjini. Ushauri wangu ni mdogo tu nenda na wewe ukaolewe na Fredy uwe mke wa pili umiliki hisa kama mkewe wa kwanza.

Mkuu yatosha,haya ni magamba yanaruka na kuteketea kwa moto wa lowassa
 
Utajiri wa Duniani tu na ni wa muda ila Akhera ndio shida na maumivu

Ole wao wote waliochuma mali kwa dhulma haijalishi chama gani
 
Back
Top Bottom