Fred Vunja Bei agawa pisi za nguo 10,000 kama "mkono wa Eid"

Fred Vunja Bei agawa pisi za nguo 10,000 kama "mkono wa Eid"

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,692
Wakuu,

Kwa wanaomfatilia Fred Vunja Bei alishawahi kusema kuwa ana "interest" za kugombea Ubunge, jimbo analotaka kugombea hakutaja na hata kwenye mkutano mkuu wa CCM pia alikuwepo

Leo katoa pisi 10,000 za nguo kama msaada na zawadi katika sikukuu ya Eid

Nguo za huyu jamaa wanavaaga vijana washamba kutoka rombo na meru kama akina myebusi min -me na mwenzie semenya Maghayo
Acha kukwamisha jitihada za tajiri Fred😊😊
Kaka ake Fred aitwae fadhili AMEWAI kua lecturer hapo UDSM.. AMEWAI kua Personal secretary wa The late EDWARD LOWASSA.

Amesha gombea Mara KADHAA ubunge wa Iringa mjini ndani ya CCM lakini kura hazikutosha .

Ni mtu peace Sana brother Fadhili so sishangai Kama wata mpigia chapuo mdogo wao FRED VUNJA BEI
Hata ivyo Fred ndie amezaa na KIDOTI na pia kwa Sasa kaingia kwa nguvu kwenye industry ya PHARMACEUTICAL INDUSTRY.

In short wanautaka ubunge wa Iringa mjini familia ya NGAJILO.
 
MUNGU MWENYEZI awabariki sana

Wafanikiwe sana

Aliye fanikiwa lazima umwombee afanikiwe zaid
 
Nawashaaga sana watu wanaonunua nguo na viatu hapo
Najiulizaga wanazivaaje

Ova
Zinapauka mapema sana zile kadeti na jinsi zake. Unaweza nunua kadeti OG 1, mwenzako aliyenunua kwa vunja bei akanunua hadi 4 au 5 na yako haijapauka
 
Back
Top Bottom