- Thread starter
- #81
Hahaha kama hujatokea chadema sahau. Hata wao wanafahamu chadema ndio kuna wenye akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mabadiliko madogo yanaenda kufanyika kuna ambao watapigwa chini hata. Mimi npo kwenye kusikilizia TEUZI hapa mkuu. Karibia naula
Sent using Jamii Forums mobile app