Fred Mpendazoe hajapewa cheo tangu arudi CCM, kwanini?

Hakusajiriwa. Waliolamba vyeo walisaini deal kwanza kabla hawajatema jojo. Wengine shavu lao lilikuwa kubwa, ikiwemo kusamehewa/kulipiwa mikopo yao ya bank
 
Hakusajiriwa. Waliolamba vyeo walisaini deal kwanza kabla hawajatema jojo. Wengine shavu lao lilikuwa kubwa, ikiwemo kusamehewa/kulipiwa mikopo yao ya bank
Hahaha hao ni wale wanaohama wakiwa na ulaji mkononi, yeye alienda akiwa hana chochote zaidi ya kadi ya chadema, nao wakampa kadi ya ccm. Ukiwa mbunge wa chadema wanakypa ubunge wa ccm, mwenzetu alisahau " mkono mtupu haulambwi".
 
Mgeja na Lowasa walipewa offer kwenda mbuga za wanyama yeye hata juice siku aliyorudi hakupata.
 
Naona kwa sasa hata uwezo wa kumiliki compyuta au kasimu hana tena

In God we Trust

Kumbe CDM na timu yake mlikuwa mkiwagawia kompyuta na simu ili washinde kwenye mitandao - mtaendelea kuwa washindi ndani ya JF halafu uwanjani nundu kama kawaida

CCM Kwanza 2019
 
Back
Top Bottom