Fred Mpendazoe hajapewa cheo tangu arudi CCM, kwanini?

Kawaida ya CCM wanapokuhitaji wanakukumia kama dodoki, wakikuchoka wanakutupa kama kondomu
Hahaha nilidhani wanakutumua na kukutupa kama kondom.
Dodoki liwe lile?! Kumbuka hata Dr.Slaa hakuweza kuwa dodoki, the minute alitoka akapoteza mvuto. Message ni kwamba wananchi wote ni wapinzani na anaye wasaliti wanamtupa na mti wake.
Tizama juzi viongozi wadini walipoteza mvuto kwenye jamii, hii inamaanisha wananchi wameuchoka ccm, na yeyote aiungaye mkono wanamchoka saaa hiyohiyo.
 
Ila huyu jamaa sielewi alipatwa na nini? Hoja zote alizokuwa anajenga sasa kimya kama yupo kaburini! Mara ya mwisho nakumbuka alimponda sana Kitila kwa kukubali kuusaliti upinzani.

Sasa sijui ni kweli kama alivyosema dada wa taifa kuwa kuna wengine wana (neno nimelisahau) huku wanarekodiwa halafu wanaambiwa watangaze kuhama au vinginevyo video ivujishwe mtandaoni.

Sasa kuficha aibu inabidi waibuke ghafla kuwa wanaunga mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hayo mambo ya video bado yanaendelea? Nasikia hata Ma..ne wa Daruso naye alifanyiwaga hayo mambo wakati ule wa sakata la mamvi. Alikuwa anaandika sana makala kwenye gazeti la mwananchi.

Hahaha kule hawajali hoja, mbona wakihamia huko hoja zinakauka?! Umemsikua Mwita Waitara tangu awe naibu waziri?! Anatia huruma hadi kwenye picha, anazunguka na waziri Jafo lakini hata kuongea hawezi tena, uso umevimba sijui wanamlusha nini huko.
 
Mpendazoye umri umeshamtupa ila wakumuhurumia ni Mtatiro
Hahaha kwani alipokuwa anatumika alisajau umri wake au hakujua kucheza sindimba lao?! Mtatiro anaweza kukosa kwasababu anataka cheo kikubwa kulingana na alichokuwa nacho CUF, alikuwa naibu katibu mkuu kisha kaimu mwenyekiti, sasa akipewa ukuu wa wilaya sio kumdharau kweli?! Anapaswa amreplace Mangula au mwenyekiti taifa.
 
Hivi hayo mambo ya video bado yanaendelea? Nasikia hata Ma..ne wa Daruso naye alifanyiwaga hayo mambo wakati ule wa sakata la mamvi. Alikuwa anaandika sana makala kwenye gazeti la mwananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wanajirekidi wenyewe hakuna anayewafanyizia. Wana leakisha wenyewe kama kina amber ruti
 
Kwa kweli Mtatiro tumemkosa humu. Alikuwa hazina na kutusaidia ufafanuzi mwingi akiwa verified user. Lkn sasa kapotea kabisa. Naamini huko aliko anakosa Raha Sana. Lazima Mpoleeeeee!! Nimejifunza pakubwa Sana ktk Maisha haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli Mtatiro tumemkosa humu. Alikuwa hazina na kutusaidia ufafanuzi mwingi akiwa verified user. Lkn sasa kapotea kabisa. Naamini huko aliko anakosa Raha Sana. Lazima Mpoleeeeee!! Nimejifunza pakubwa Sana ktk Maisha haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha yuko kivukoni anasomeshwa diplomasia, atakuwa Balozi kama Dr.Slaa
 
yupo pia said arfi, huyu alihaidiwa na jiwe kazi kama akitoboa uraisi hadi leo holaaa
 
yupo pia said arfi, huyu alihaidiwa na jiwe kazi kama akitoboa uraisi hadi leo holaaa
Hahaha yule hapendi kujipendekeza, ndio maana hata chadema walidhani ni mamluki yeye alikuwa anafuata haki na sheria, hakupenda kuyumbishwa wakaona anawasumbua akawaachia umakamu mwenyekiti wao.
Yule ubunge size yake hataku jukimbizana na mtu, wakimpa ukuu wa wilaya au mjoa watamfukuza tu, hana muda kujimbizana na watu na kufokeana.
 
Back
Top Bottom