MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 319
- 755
Finiria watu wenye utapeli mkubwa Kama hawa wangekabidhiwa nchi kitokea Nini,wanajidanya wao na wake zao,au wanamdanganya Nani?Fred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.
Fred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.
Anachotetea kiko dhahiri. The family has given in to pressure. Wamejitangazia kuacha siasaFred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.
Tunamtakia maisha mema na wakati wowote ategemee kuteuliwa na kukabidhiwa uwezo wa kuzitumia rasilimali za watanzaniaFred ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema yeye pamoja na familia nzima ya Lowassa wamerejea nyumbani akimaanisha Chama cha Mapinduzi (CCM). Fred amezungumza maneno hayo leo jijini Arusha. Fred ambaye alijiunga na CHADEMA Julai 28, 2015 ameeleza kuwa anajisikia vizuri kurudi nyumbani kuendelea kushirikiana na marafiki zake aliowaacha CCM.
Tayari unamtukana lowasa kuwa ni mmojawapo wa wahuniFred karibu sana na pole na maisha ya upotevu issue ni kujenga taifa. Nijambo gumu sana wewe kukaa ktk genge la wahuni usinge weza.