Post imeenda shule hii heko kwako. Hongera kwa hili, umenikumbusha jamaa mmoja yupo Kyela huko ni tapeli sana anajifanya mganga wa kienyeji, mara utapeli wa hela bandia anaitwaga Abeli au mr Maloo(Marlaw) sema shule kichwani hana hata kusoma changamoto sms kuandika shida ila ndio kala sana hela za watu. Juzi kati naambiwa wwmempiga mtu Dar 100 million na wenzie saizi anaishi kama digidigi hapa pale kesho kule