zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
wamebana aisee ....nawaomba mods warekebishe waweke updatesDah! Nimekuja mbio nikijua kuna link itakayofanya tuone ndondi LIVE?!!!
wamebana aisee ....nawaomba mods warekebishe waweke updates
mpaka now hakuna chochote kila
hata ngumi za utangulizi tu bado hazijaanza lakini wanajivutavuta sana
au kwakuwa hakuna watu wengi labda ndio maana wana vuta vuta time ili
watu waingie ingie kwanza
mpaka now hakuna chochote kila hata ngumi za utangulizi tu bado hazijaanza lakini wanajivutavuta sana au kwakuwa hakuna watu wengi labda ndio maana wana vuta vuta time ili watu waingie ingie kwanza
pamoja mkuu, tuhabarishe.
sasa mbona hamtupi update zozote muazisha mada yupo wapi
mpaka now hakuna chochote kila hata ngumi za utangulizi tu bado hazijaanza lakini wanajivutavuta sana au kwakuwa hakuna watu wengi labda ndio maana wana vuta vuta time ili watu waingie ingie kwanza
mchumia tumbo kashinda round ya 4
simba wa tunduru kapigwa kwa point
kamote kashinda kwa point
now ni maugo na mashali