Francis cheka apoteza apigwa kwa ko

Francis cheka apoteza apigwa kwa ko

Mzawa wa tanzania

New Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
3
Reaction score
1
Bondia francis cheka aendeleza wimbi la kupigwa nje ya nchi, safari kwa KO raundi ya tatu. Kimsingi sijui tatizo ni nini? mana hata ukiangalia pambano lenyewe, anaonekana kuzidiwa kupita maelezo km vile siyo bingwa wa dunia. Au ndio mambo ya ndumba yameshindwa kuvuka mipaka mpka nje ya nchi nn?

Angalia pambano hilo hapo chini kwa kukopy hiyo link.

VIDEO : TAZAMA PAMBANO AMBALO BONDIA FRANCIS CHEKA ALIPIGWA KWA K.O NCHINI RUSSIA NA BONDIA FEDOR CHUDINOV KISHA KUVULIWA UBINGWA WA WBF. | larrybway91
 
Akiwa nje ya nchi inakuwa ngumu kwake kupata "cannabis sativa". Bila kupata hiyo kitu, umakini na umahiri wake unapungua. Akiwa bongo na akipata hiyo kitu, mpinzani wake lazima achezee kichapo tu...

Haya ni maoni yangu!
 
Cheka inabidi ajifunze kuweka Guard vizuri. Mm naona alikua anapigana simple boxing as if anamfundisha mwanafunzi wa boxing kumbe yupo kwenye pambano la kutetea ubigwa. Jaribuni kuangalia mikono yake alivyokua anaiweka yan ni uzembe wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom