Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,749 Reaction score 7,024 Nov 7, 2013 #1 Habari, naomba msaada wa kuondoa frame kwenye kazi iliyochapwa kwenye word 2007; nimeweza but kuna vistali vya blue (broken lines) ambavyo vinatokea na kuwa kikwazo naomba msaada wa kuviondoa kabisa.
Habari, naomba msaada wa kuondoa frame kwenye kazi iliyochapwa kwenye word 2007; nimeweza but kuna vistali vya blue (broken lines) ambavyo vinatokea na kuwa kikwazo naomba msaada wa kuviondoa kabisa.