nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,034
- 900
Vifaa vya umeme sio vitu vya kuharibika na havina expire date. Naweza kuvifungia tuu huku nikiendlea kupambana na soko. Nikiona kodi ni changamoto naweza kuviamishia sehem ambayo haina changamoto ya kodi.
Unaingia kidogo kulia mita chache sana, ukiwa dukan unaiona barabara. Na si lazima mnunuzi abaki hapa hapa kwenye fremu. Anaweza chukua mzigo tuu akaenda kujazia au kufungua sehem nyingineNilichokuwa namaanisha baada ya leo biashara itakuwa inaendelea, kwasababu ni mpaka mnunuzi aje kujiridhisha, halafu hapo ulipo duka linatama barabara kubwa inayoelekea Bagamoyo?
Unaingia kidogo kulia mita chache sana, ukiwa dukan unaiona barabara. Na si lazima mnunuzi abaki hapa hapa kwenye fremu. Anaweza chukua mzigo tuu akaenda kujazia au kufungua sehem nyingine
Aiseee ofisi iko poa ndugu. Hiyo kazi unayoifuata inalipa zaid ya biashara yako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu noma sanaa....Duuu, kweli nimeamin hali n ngumu.. Pesa hakuna, vyuma vimekaza.Vimekaza haswa.
Nimetoa fursa hapa ya kibiashara watu wanaishia kupiga simu tuu, hakuna anaetoa pesa! Kila ukipiga simu "Kuna pesa naifatilia subiri" au kuna pesa naickilizia mkuu, nipe mda kidogo! Hakuna kitu!
Nimeshusha mzigo, nikataka nipewe 2M tuu kwa stock ya 2.9+ jumlisha mwez mmoja free wa kodi.. Watu wanataman san, ila pesa ndo hamna! Hali sio nzuri huku mtaan.
Nimeamin, nimeamin..
Frem sio yangu mkuu, Njoo tuu uongee na mwenye fremu! Kodi ni maelewanoVipi hiyo frem naitaka peke yake ni sh ngapi mkuu
Hatar tupu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu noma sanaa....
Wewe unalipa sh ngapi mkuuFrem sio yangu mkuu, Njoo tuu uongee na mwenye fremu! Kodi ni maelewano
Laki na nusuWewe unalipa sh ngapi mkuu
Mkuu ukishasikia sentensi kunapesa naisubiria, naiskilizia jua hapo hakuna kitu wabongo wengi wapo hivyo..Duuu, kweli nimeamin hali n ngumu.. Pesa hakuna, vyuma vimekaza.Vimekaza haswa.
Nimetoa fursa hapa ya kibiashara watu wanaishia kupiga simu tuu, hakuna anaetoa pesa! Kila ukipiga simu "Kuna pesa naifatilia subiri" au kuna pesa naickilizia mkuu, nipe mda kidogo! Hakuna kitu!
Nimeshusha mzigo, nikataka nipewe 2M tuu kwa stock ya 2.9+ jumlisha mwez mmoja free wa kodi.. Watu wanataman san, ila pesa ndo hamna! Hali sio nzuri huku mtaan.
Nimeamin, nimeamin..
Kabisa mkuu..Mkuu ukishasikia sentensi kunapesa naisubiria, naiskilizia jua hapo hakuna kitu wabongo wengi wapo hivyo..
Hahahahahaha... Umenifurahisha mkuuMbongo akishakuambia
'kuna mchongo....'kabla hajamaliza kata simu unapotezewa muda