Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 546
- 992
Weka picha.Fremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii lazima uchukue na fremu. Vyote kwa pamoja vinagharimu sii zaid 2.5M bei ya hasara. Maongezi yapo. Ipo Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam. PM kwa maelezo zaidi.
Biashara gan sasa mjomba??Biashara bado ipo wakuu, natarajia kuondoka Ijumaa.. Njoo nikuachia biashara inayo-run, yan wewe unaingia tuu unaanza kuuza.
Soma uzi wote mkuu.. Angala.mwazo wa uzi huu kuna maelezoBiashara gan sasa mjomba??
Nimekupata mkuuSoma uzi wote mkuu.. Angala.mwazo wa uzi huu kuna maelezo
kweli vyuma vimekazaFremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii lazima uchukue na fremu. Vyote kwa pamoja vinagharimu sii zaid 2.5M bei ya hasara. Maongezi yapo. Ipo Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam. PM kwa maelezo zaidi.
Mkuu umeshauza tayari?Fremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii lazima uchukue na fremu. Vyote kwa pamoja vinagharimu sii zaid 2.5M bei ya hasara. Maongezi yapo. Ipo Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam. PM kwa maelezo zaidi.
Bado mkuu.. Watu wametoa ahadi ila bado mzigo upoMkuu umeshauza tayari?
Mkuu itakuwa ngumu kwa mkopo. Bora niuze kwa discount kias kuliko hiyo ya awamu. Ukipokea pesa kdgo kidgo huwez kufanya kitu kingine kabisa mkuumkuu niuzie kwa mkopo nikulipe kwa awamu awamu na kwa makubaliano maalum
Nikweli mkuu ila niliona sio vibaya kutoa mawazo yangu ila kama utakuwa tayari nitakulipa laki 5 kila awamu nakuomba nifikilieMkuu itakuwa ngumu kwa mkopo. Bora niuze kwa discount kias kuliko hiyo ya awamu. Ukipokea pesa kdgo kidgo huwez kufanya kitu kingine kabisa mkuu
Mkuu nipe namba PM nikuchekiBiashara bado ipo..
mkuuTupia picha mkuu achana na pm.
Na kwanini unauza au biashara ngumu hapo?