Rapture Man
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 439
- 145
Habari Wana JF.
Frame iko katika eneo la Chuo lililotengwa maalumu kwa ajili ya maduka. Si katika Dormitories.
Ina ukubwa wa 4.5m*4.5m
Imekamilika isipokuwa umeme tu. Kama kuna anayeihitaji na anataka iwe na umeme tutafanya utaratibu wa kuunganisha umeme.
Frame yenyewe iko katika ki-barabara (row) cha tatu kutoka mwanzo wa rows za maduka.
Kodi ni 70,000 kwa mwezi bila umeme. Nikikuwekea umeme kodi ni 90,000 kwa mwezi.
Kwa anayehitaji ni-PM.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums