Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 899
Wasalaam
1.Nauza frame zangu zilizopo Dodoma mjini maeneo ya michese.
2.Fame ziko umbali wa kama kilomita saba kutoka town kupitia njia ya kikuyu(usalama wa taifa)
3.Frame zipo 8 na zina uwanja,ukubwa waeneo haupungui robo eka.
4.Maji na umeme viko jirani,na ziko jirani na mradi wa kufyatua na kuuza tofali
5.Ni sehemu inayokuwa vizuri kwa sasa,kwa ambao sio wenyeji unaweza uliza wenyeji wa dodoma wanaopafahamu watakueleza.
6.Hati miliki yake ni ya kijiji/serekali ya mtaa.
7.Bei yake ni milioni 15 na maelewano yapo
8.zipo zingine jirani pia,ziko 7 zenyewe bei yake ni milioni 14 sifa zake ni sawa na za mwanzo.
9.kwenye picha hapa chini utaziona zenye frame 8(milioni 15) na frame 7(milioni 14)
10.kwa mawasiliano zaidi 0767833496/0659605358
NB; FRAME HIZI NI ZANGU BINAFSI NA MIMI NDIYE MMILIKI NA MUIZAJI,HAKUNA UDALALI/UWAKALA