FPA udsm wanafundisha nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FPA udsm wanafundisha nini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Nyalotsi, Aug 11, 2012.

 1. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia kwa wenzetu kuna vyuo vinafundisha michezo mbali mbali, na wanaosoma kozi hizo ni wanamichezo. Mfano caster semenya ni mwanafunzi wa university of pretoria, anasoma sports science. Huku kwetu sijawahi sikia mchezaji wa mchezo wowote anasoma chuo cha michezo potelea mbali kufanya mazoezi. Kuna kozi ya fine and performing arts huwa naisikia udsm, hivi wanafundisha nini? Wanafundisha watu wa aina gani? Vigezo gani vinatumika kuwachagua wanaostahili kusoma? Au wanafundisha wenzangu na mie wa collar jobs? Au ni bussiness as usual? Kuna vitu vingine siyo kila anayefaulu form six anastahili kusoma, wapewe nafasi wenye vipaji vyao.
   
 2. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Naomba kusistiza pia tungependa kujua wahitimu wa hio kozi wanafanya kazi gani na wapi.
   
 3. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  FPA UDSM panafundishwa sanaa za Maonesho, Film prod, muziki nk. Kipo kitengo ktk shule ya Elimu (zamani Faculty of Education), nadhani kinaitwa 'physical education ...). Hapo hufundishwa ualimu wa Michezo mbalimbali kama soccer, kuogelea nk.
   
Loading...