officialstawa
Member
- Sep 30, 2016
- 95
- 18
jamani kama kuna mtu aliaply fourth round application kupitia tcu aniambie kama kapata chuo mana cielewi elewi
me kweny profl angu iko vle vle cjui kwannSelection zishatoka fuatilia kwenye vyuo ulivyoomba.
dah me profl angu iko vle vle yaaniYah nnae dogo mmoja ni leo asubuhi amenipa taarifa na mie nimeithibitisha profile yake tayari amepangiwa chuo
dah me profl angu iko vle vle yaaniYah nnae dogo mmoja ni leo asubuhi amenipa taarifa na mie nimeithibitisha profile yake tayari amepangiwa chuo
ndo apo sasa maana watu waliomba kupitia nacte ndo wamepata matokeohuyo aliopata aliomba kupitia nacte au TCU na vipi diploma kwenda degree au aliomba kwenda level ipi?
et uyo aliepata aliomba kupitia nacte au tcu an degee au diplomaYah nnae dogo mmoja ni leo asubuhi amenipa taarifa na mie nimeithibitisha profile yake tayari amepangiwa chuo
MIMI NIMEOMBA CAS SASA HAO NACTE WAMEOMBA LINIndo apo sasa maana watu waliomba kupitia nacte ndo wamepata matokeo
CAS ipo NACTE na TCU pia wew ulipitia wapi TCU au NACTE?MIMI NIMEOMBA CAS SASA HAO NACTE WAMEOMBA LINI
Yani mm nikiingia had leo wanadai et system closed et bado wanafanya usaili wa wanafunzi but mm nimetokea diploma na niliomba SUAkuna rafiki angu kaomba KIU through tcu na kashaanza masomo 4rth round
kuna rafiki angu kaomba KIU through tcu na kashaanza masomo 4rth round
Hata mimi ni mhanga wanga wa nacte kwan profle yangu na system ya Tcu vs Nacte is closed for sellection process. Na fourth round nimeona vyuo viwili tu udom na mzumbe na idadi ni ndogo vilevile kwa mzumbe ni ngazi ya diploma na cheti zaidi [HASHTAG]#tusidanganyane[/HASHTAG] bana