Four years experience: I dated Miss Tanzania Top Model

Four years experience: I dated Miss Tanzania Top Model

Mnaishi Temeke saivi na huyo super model wa Arusha? Au Nairobi!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Mwelewa
The next love drama series i wish to be interested in after pangako sayo.Bring it on!
 
Last edited by a moderator:
Watu8

Ila usiombe aisee, kuchapiwa kwa style hii ya mitungo ni soo, maybe mleta mada kaamua tu kuja kumchafua dada na wala sio boyfriend but just an acquaintance.
 
Last edited by a moderator:
lara 1
Pole dada yangu lara 1, vipi ile kitu dizaini ya karoti imekukwama nini? Nina dawa yake hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hunyu

too much.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mwelewa
Then kindly enlighten us to the "point" of your post. Frankly, I have read it again and other then thinking that it is an exercise in english writing that you were attempting I fail to see of what use it is to this or any audience. Au sema kwa kiswahili ulitaka ulete ujumbe gani?
 
Last edited by a moderator:
story yako umechapiwa ndani and you dont regret ama kweli maajabu ya dunia
 
Nyamgluu
Since when did anyones penis make headlines in Jamii Forums yeah tread carefully.

Yes you.
 
Last edited by a moderator:
Mwelewa
Wait one day you will believe about the existence of limbwata. Don't play with ladies from Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
I know that girl, most of agency male models fcuked her, I will never forget one time me and my fellow boss found her having threesome in agency van. She lied to you the boss himself wasn't homosexual, he just pretended to be that way, you better ask her what he did to her,

Are u sure?
 
Mwelewa
Libwata ulilopewa naona unaambiwa ujipimie vijiko vitatu, unywe mwenyeweeee! Hahahahahaa! Ze english is ze ku beep beep.

Kama huwezi kutoa talaka,usifumanie
 
Last edited by a moderator:
Judith Elitwaza... She knows me, muulize Benteke ni nani. She used to study some where in sanawari juu. I f*cd her many times. she is hot. All the best dude... ila next time usilete mambo yako binafsi huku ukataja jina halisi, bora ungedanganya jina. Shame on you.
 
Ndagafijooo9ooooooooonamapikikipikiiiiiiiiikik
 
Judith Elitwaza... She knows me, muulize Benteke ni nani. She used to study some where in sanawari juu. I f*cd her many times. she is hot. All the best dude... ila next time usilete mambo yako binafsi huku ukataja jina halisi, bora ungedanganya jina. Shame on you.

Ulichofanya sio fair
 
[h=3] MHASIBU ASHINDA MISS UTALII TANZANIA –VYUO VIKUU 2010 –KANDA YA KASKAZINI NI ADELQUEEN JOSEPH NJOZI [/h] Wednesday, May 05, 2010 Maoni: 1

Miss Utalii Tanzania 2010 Adelqueen .J.Njozi
Adelqueen .J.Njozi (kati) aliyentakuwa taji la Miss Utalii Tanzania 2010 akiwa na mshindi wa pili na wa tatu
Tano bora jukwaani


Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha uhasibu cha Arusha,Adelqueen .J.Njozi,mwishoni mwa wiki amefanikiwa kutwaa taji la Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu 2010 –Kanda ya Kaskazini na kujinyakulia shilingi milioni moja na laki tano kutoka Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) na kidani cha Tanzanite cha shilingi milioni moja toka Culture Heritage.




Katika shindano hilo lililokuwa na ushindani mkali,mshindi aliwashinda washiriki wengine kumi kati ya kumi na moja walioshiriki shindano hilo.Mshindi wa pili alikuwa ni Judith Elitwaza aliye zawadi za shilingi milioni moja toka Mamlaka ya Hifadhi za taifa (TANAPA),wa tatu alikuwa Zena Nasib aliye zawadi za shilingi laki nane toka Intergance Securico,wanne ni Anitha Mbowe aliye zawadi za shilingi laki tano toka Modern Ricks Club,watano ni Zainab Rajabu aliye zawadi za shilling laki tatu toka Mwandago Investment na mshindi wa tuzo ya Vipaji ni Grace Temba aliye zawadiwa shilingi laki nne toka Supreme Power Fance.



Warembo ambao hawakushinda nafasi yoyote ni Omega Maoki,Beatrice Discoryce,Beatrice Ngowi,Sallome Kessy,Restuta Vedasto ambao kila mmoja alizawadiwa shilingi elfu hamsini zilizo tolewa kwa pamoja na Empire Sports,Victoria Expediation,Aquline hotel,Business Times Limited,Naipenda Safari,QX Club.




Maelfu ya watu waliohudhuria shindano ,wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mheshimiwa Isdori Shirima katika ukumbi wa hoteli ya kitalii ya Naura Springs Hotel,walijikuta wakishangilia kila warembo hao walipopita jukwaani wakiwa katika mavazi ya Ubunifu,Kutokea,Kitalii na ya Asili ,huku ukumbi mzima ukizizima kwa nderemo na vifijo wakati warembo hao walipoingia jukwaani kila mmoja akiimba na kucheza ngoma na nyimo halisi za makabila ya Tanzania wakiwania tuzo ya Vipaji.



Msanii wa kizazi kipya Barnaba aliongoza burudani zilizosindikiza shindano hilozikiwemo Mwanamziki Ndanda Cosovo,Belle 9 na kundi la ngoma za asili ambalo lilitia fora kwa ngoma za asili za mikoa ya Arusha na Lizombe ya mkoa wa Ruvuma. Akihutubia katika shindano hilo,mkuu wa Mkoa wa Arusha Isdori Shirima,aliwapongeza sana waanzishi na wabunifu wa shindano la Miss Utalii Tanzania,kwa kubuni shindano linalozingatia mila na utamaduni wa Kitanzania na lenye kutangaza utalii na utamaduni wa mtanzania,huku akiyataka mashindano mengine kuiga mfano wa shindano la Miss Utalii Tanzania.

"Leo ni mara yangu ya kwanza kuhudhuria mashindano ya urembo,na nimehudhuria baada ya kuhakikishiwa kuwa shindano hili ni tofauti nay ale mengine yanayo tumia utamaduni wa kigeni ambao kwa kiasi kikubwa ni adui wa utamaduni wetu" alisema mkuu huyo wa mkoa,aliongeza kuwa kukubali kwake kuwa mgeni rasmi kumetokana na kuthamini mchango wa shindano hilo katika sekta ya utalii na utamaduni,pia kutokana na umuhimu wa sekta ya utalii na utamaduni kwa Taifa katika kupambana na umasikini na tatizo la ajira.



Alitoa wito kwa wasomi ,hususani mabinti kutumia fulsa mbalimbali zinazo patikana kama hii ya Miss Utalii Tanzania kutangaza utalii na utamaduni wetu kitaifa na kimataifa. Akizungumza baada ya shindano hilo,Mkuu huyo wa mkoa alielezea kuridhishwa kwake na shindano la Miss Utalii Tanzania,na kutoa wito kwa waandaaji wa taifa kuipa Arusha heshimwa ya wenyeji wa fainali za Taifa mwaka huu "shindano hili ni kielelezo cha urithi wa Taifa,hazina ya utamaduni wetu na tafsiri ya vitendo ya sera za Taifa za Utalii na utamaduni pia uungaji mkono wa juhudi za serikali katika sekta ya utalii na utamaduni" aliyataka makampuni na mashirika mbalimbali kusaidia kudhamini shindano hili ,akiamini kuwa iwapo wadhamini wakubwa watajitokeza basin chi yetu itakuwa na namna ya shindano la kujivunia kitaifa na kimataifa.

Wadhamini wakuu washindano hilo,ambalo pia lilihudhuriwa na rais wa mashindano hayo nchini Gideon Chipungahelo ni pamoja na Naura Springs Hotel,Mamlaka ya Hifadhi za Taifa(TANAPA),Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA),Modern Ricks Club,Business Times Limited,Mwandago Investments,Aquline Hotel, Intelligence Securico, Supreme Power Fence,QX Pub,Culture HeritageSnow crest hotel,Vero Salon na Empire Sports.

 
Judith Elitwaza... She knows me, muulize Benteke ni nani. She used to study some where in sanawari juu. I f*cd her many times. she is hot. All the best dude... ila next time usilete mambo yako binafsi huku ukataja jina halisi, bora ungedanganya jina. Shame on you.

Upo kwenye usingizi mzito ndugu....Amka. Hakuna unachojua.
 
Watu8

Ila usiombe aisee, kuchapiwa kwa style hii ya mitungo ni soo, maybe mleta mada kaamua tu kuja kumchafua dada na wala sio boyfriend but just an acquaintance.

Hahahaaa.... siwezi mchafua mtu mimi. Ngoja nikuulize kitu, je unaamini hiyo habari ya "kuchapiwa"? Guys wanaongea but they don't know anything. Hahahaa mkuu wewe sio mpelelezi kabisa umwshindwa kung'amua ukweli.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom