Four years experience: I dated Miss Tanzania Top Model

Four years experience: I dated Miss Tanzania Top Model

nitafanya nini na kumwacha siwezi labda kwenye mapenzi ameniwekea hirizi
 
ara 1
Ukisoma ndani ya hii hekaya utaona kuna jina la Patrick Ngowi na stori yake ikitumika kama inspirational story ya kuanzisha chombezo la tongozo.Back then wakati Saida anakuwa mlimbwende wa Tz nadhani Patrick alikuwa mdogo sana pengine kwenye early 10's.Maybe atajwaye kwa hekaya hii ni haka kabinti ka juzi.
 
Last edited by a moderator:
Watu8
Mkuu hii story ipo kwenye wakati uliopo na unao endelea na kwasasa kamshauri mpenzi wake arudi chuo umepata kitu apo?Wanapendana sana hawa na eti alikuaga anachukua tu hela kwa yule boya ambae sijui ndo manager but akuwahi kumpa mzigo, eti mzigo niwa uyu tu!!!! Umeshtuka?
 
Last edited by a moderator:
HOPECOMFORT]

Kwa habari ya nyakati nimeielewa vizuri mkuu.Isipokuwa nilikuwa najaribu kumpa mwanga lara 1 kuwa atajwaye si Saida Kessy (Miss TZ 1997)
Zaidi ya hapo tuache mwenye mzigo ausifie mzigo wake.
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka wewe utakua ni shake well before use! Dude! Mwanaume wa aina gani unachezewa ivi jamani wanaume wenzake njooni mumsaidie mwenzenu.But kama wewe ni m k basi bana shauri yako maana kwanza uwaga nyie ni wajuaji sana.
 
You didn't understand the
story read it again. I met my girlfriend a year before she became
fashion modal. There is no point in your comment you have posted
nonsense. .....!!!

uko vizuri kaka! na yule mzungu mvuta bange???
 
Lara 1 hii ni aina maalum ya limbwata haipimwi kwa vijiko. Unanuiziwa tu waambiwa kama mkia wa kondoo umeinama na yeye ainame na kama mkia kondoo umeinuka na yeye ainuke. ha ha ha hapo hatoki mtu. lara
 
Last edited by a moderator:
Mwelewa you mentioned are haters.Love is blind. reason.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mrigariga
How do you expect to live your life while exposing it to public interest?
 
Last edited by a moderator:
Watu8
Issue sio Saida, Saida mzee sana kuwemo kwenye hili muvi saida story in 15 years sasa, unless unazungumzia mdogo wake.
 
Last edited by a moderator:
Janjaweed

Never said it's Saida mkuu nor her young sis (wakina Saida nawafahamu kiasi kuna kaundugu ka mbaaali) Comment yangu na yako zote zinafanana kufafanua kuwa Saida ni mkubwa sana kuhusishwa na hekaya hii.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom