Foundation course ya OUT-kuna waliopa

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
2,288
2,000
Habari za kazi watu wa Mungu,


Hivi kuna ambaye amepata admission chuo (tofauti na OUT) kwa kutumia matokeo ya foundation ya open katika selection za mwaka huu?

Sent using Jamii Forums mobile app

N.B: Mode heading isomeke" kuna waliopata admission kwa matokeo ya Foundation ya OUT?".
 

Erick Martie

Senior Member
Jun 6, 2015
181
250
Tukiwasubiria waje wadau wa kukujibu hilo swali nataka tu nikufahamishe option ulizokuwa nazo.

1. Usikate tamaa endelea ku'apply hivyo hivyo kwa vyuo mbali mbali inawezakuwa bahati yako licha ya competition kuwa kubwa unaweza kuchaguliwa, jjtahid kuchagua vyuo ambavyo havina competition kubwa.

2. Mambo yakiwa tight hauna budi kujiendeleza hapo hapo Open University maana kwa wenye Foundation certificate yao wanawapokea kwa haraka zaidi, so cheki kozi inayokufaa then jiendeleze.

3. Kama Mambo yamekuwa tight ni kurudi ktk option ya vyuo vya diploma, then natumaini unaweza kupata huko na kuendelea na kozi unayoipenda kuliko kulazimisha kozi ambazo hauzipendi kisa tu kwamba umepata degree.

Goodluck...!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom