Fortuna Suleiman

Mjema Vushanje

Senior Member
Joined
Sep 24, 2017
Posts
158
Reaction score
355
Mwenzenu nimejikuta nampenda Sana huyu ripota Wa ITV Fortuna Suleiman.

Mwanzo nilipagawishwa na sauti yake wakati anaripoti habari za Kibiti.

Pili umahiri wake wakati Wa kutangaza.

Ukweli Ni kwamba nilijikuta namtamani kimapenzi, na sasa nimejikuta nampenda kabisa baada ya kuiona sura yake japo ni mrembo Wa kawaida tu.

Imefika hatua nakaa kwny TV wakati Wa taarifa ili Tu nimsikie.

Furtuna Suleiman umejua kunikamata kwakweli!
 
Kwahiyo unafikiri wote tunamjua...

Weka picha.
 
Fortuna ni wakike au? Na mleta uzi we ni jinsia gani? Maana msije tuletea mambo ya ushoga hawapa kumbe wote ni wakiume.
 
Mtakuja kupenda majini bure...!
 
Sema nikitumie namba zake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…