Okey nasubiriNimeshika siti ya mtu,akija nitajibu!!!
Aisee nami nasubiri wajuvi waje.Plz Msaada mwenya kujua mchanganyiko mzuri wa chakula cha mbwa ili niweze changanya mwenyewe
Hahahah hiyo NOTE hatari.Uku nilipo Mbwa upewa chakula mara moja tu Kwa siku .
Kwa wiki anakula nyama mara 2( inachemshwa na bila kuiva sana, nyama hii huwa na mifupa mingi yani joint makongoro etc )
Kwa wiki anakula ugari dagaa mara 4 (maji yanachemshwa na badae zinawekwa dagaa zikiwa zimekaribia kuiva unaweka unga wa dona yenyewe unakuwa uji uji yaana ugari laini sana.
Kwa wiki anakula biscuit mara moja yaani atakiwi ashibe.
Note
Muda mzuri wa kumpa chakula ni masaa 3 kabla ya lindo.
Chanjo
1. Sindano ya kichaa Kwa mwaka mara moja
2. Sindano ya minyoo kila baada ya miezi 3 au vidonge kila mwezi
Note
Hapo nimezungumzia Mbwa wa ulinzi na wala sio Mbwa wa madavidavi
Uku nilipo Mbwa upewa chakula mara moja tu Kwa siku .

Zinaitwaje hizo dawa za kutotaka dume? Mi nina jike na dume, dume nimeshalihasi, jike naona kama lipo on heat, nipe jina nikanunue fastaBila kusahau kumwogesha na dawa mfano Tixfix kwa bomba la kupress, hapa unaondoa viroboto na magonjwa ya ngozi hasa masikioni.
Kwakuongezea mbwa mzuri wa ulinzi hua ni majike hivyo ili kumfanya akocentrate kwenye ulinzi kuna dawa za kutotakia madume za sindano na vidonge, hapa atakua anakula na afya nzuri pia bila matatizo ya Kuhudumia mbwa wengi.
DepoZinaitwaje hizo dawa za kutotaka dume? Mi nina jike na dume, dume nimeshalihasi, jike naona kama lipo on heat, nipe jina nikanunue fasta
Angalia tu mbwa koko wasije kujiseviaZinaitwaje hizo dawa za kutotaka dume? Mi nina jike na dume, dume nimeshalihasi, jike naona kama lipo on heat, nipe jina nikanunue fasta