Formula Mpya ya uhakika: Kuhusu kumaliza tatizo la Wapalestina na Waisrael

Hayo maneno ya kashfa dhidi ya baba wa Imani Ibrahim yanaogopesha, hivi utaanzaje kwa mfano kumuita baba wa Manabii, baba wa Mataifa, Baba wa Imani kuwa ni mzinifu?.

Hivi mnalijua nyinyi daraja la Abraham mbele ya Mungu.

Yaani mwamhukumia dhambi Baba wa Imani?.

Ogopeni ndugu zangu, acheni kabisa ni hatari
Usishangae, soma maandiko! Alimwingilia mjakazi kwa kushawishiwa na Sara mke wake! Baada ya kitendo hicho Hajiri aliendelea kuitwa MJAKAZI na Ibrahimu (Mwanzo 16:6), na mwanzo 21:10-12. Hapa Ibrahimu aliambiwa na Sara "mfukuze MJAKAZI huyu na mwanawe.....". Sara hakusema mfukuze mkeo huyu!
Kingine ambacho unapaswa kukijua ni kuwa Waisrael walikuwa hawaruhusiwi kuacha wake zao kipindi hiki! Kama Hajiri angekuwa mke isingewezekana kumfukuza! Waisrael walikuja kuruhusiwa baadaye na Musa kuwapa talaka wake zao kutokana na ugumu wa mioyo yao, lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo. Hayo ni maneno ya Yesu kama ninavyomnukuu kwenye Mathayo 19:7-8 "Wakamwambia, jinsi gani basi Musa aliamuru hati ya talaka na kumwacha? Akawaambia , Musa kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu, lakini tangu mwanzo haikuwa hivi"
Ni ukweli mchungu kwa baadhi, lakini ni ukweli ulio wazi kuwa Ishmael ni wa nje ya ndoa! Hapaswi kurithi hata kwa mujibu wa hiyo dini yenu!
 
Hii ni sawa na maandiko ktk biblia yanayosema kua Maria alijifungua mwezi wa 6 mtoto wa kiume (yesu)
Cha kustaajabisha wanasherekea dec25 kwa kuzaliwa Yesu
Sasa hio mimba ilikua kwa miezi 6 tu au
Hakuna biblia inayosema Mariamu alijifungua mwezi wa sita! Wala hakuna MTU anayesema Yesu alizaliwa mwezi wa 12. Sherehe ya krismas siyo birth day ya Yesu, bali ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa Yesu!
 
Astaghafirullah Subhanallah "ametakasika M/mungu na uzushi wowote hata siku moja hawezi teuwa mjumbe" tena Mtume" alafu awe mzinifu kwani manabii na mitume wamelindwa na uchafu huo someni dini vizuli si kuropoka

Achana na dhana ya Uarabu Masjid Quds ambapo ndio chanzo cha ugomvi ndio kibra cha kwanza cha Waislam kabla ya Mecca nasihilotu bali kuna matukufu mengine mengi kuhusiana na Uislam
Hata usemeje, Hajiri hakuwa mke, alibaki kuwa mjakazi, mpaka anafukuzwa alikuwa ni mjakazi! Angekuwa mke asingemfukuza maana hawakuwa na desturi za kufukuza wake. Ibrahimu alikuwa anamwita mjakazi, na Sara alikuwa anamwita mjakazi, na Mungu alikuwa anamwita mjakazi mpaka wakati anaondoka kwa Ibrahimu. Soma Mwanzo 16:6, Mwanzo 21:10-12.
 
Napendekeza formula Mpya itakayoweza kumaliza kabisa mzozo wa waisrael na wapalestina. Formula hii inazingatia :
1. Msingi wa tatizo
2. Ukweli wa kihistoria
3. Kanuni za urithi
Ninaamini ikifanyiwa kazi italeta matokeo chanya na jumuia ya kimataifa italazimika kunipa tuzo ya Nobele (Nobel Prize)
Ufafanuzi: 1. Msingi wa Tatizo. Msingi wa tatizo ni kugombania mahali pa kuishi ambapo kila taifa kati ya Israel na Palestina anaona anastahili kuwa hapo. Wapalestina wanaona nchi yote inayoitwa Israel ni yao na inapaswa kuitwa Palestina na mji wake mkuu ni Yerusalemu!
Hali kadhalika, Waisrael wanaona nchi yote wanayokaa wao kwa sasa na ile sehemu wanayokaa wapalestina ni nchi yao ambayo walipokonywa kwa nguvu na kupelekwa uhamishoni! Na wanaona wana haki na wajibu wa kuirejesha yote hatua kwa hatua na Yerusalemu ni mji wao mkuu! Hilo ndilo tatizo la msingi!
2. Ukweli wa kihistoria: Wapalestina na waisrael wote wanagombea nchi moja kutokana na ukweli wa kihistoria unaofahamika wazi. Asili ya wote hawa ni pale pale wanapopagombania! Hii ni kwa sababu waisrael na wapalestina ni ndugu wa damu! Wote baba yao ni mmoja anaitwa Ibrahimu! Ibrahim alizaa watoto wawili wa mwanzo, lakini kwa mama wawili tofauti. Wa kwanza ni Ishmael. Huyu ni mtoto wa haram kwa msingi kuwa alizaliwa nje ya ndoa! Ibrahimu baada ya kuona kuwa mke wake wa ndoa Sara ni tasa na mzee sana alisikiliza ushauri mbaya wa mke wake aliyemtaka aingie kwa mjakazi wake Hajiri ili apate mtoto! Kwa hiyo Ibrahim akazaa na mjakazi wa Sara na akazaliwa Ishmael.
Uzao wa Ishmael ndo ulizaa waarabu wote wakiwemo wapalestina!
Lakini baadaye Mungu alifanya muujiza Sarah akapata mimba katika uzee sana wa miaka 90 na akamzaa mtoto halali wa kwenye ndoa akaitwa Isaka! Isaka alizaa watoto wawili mapacha, Mkubwa Esau, na mdogo wake Yakobo. Yakobo baadaye alibadilishiwa jina akaitwa Israel. Uzao wa Israel ndo ulileta waisrael wote na taifa lote la Israel. Sasa uzao wa Israel unaotokana na Isaka mtoto halali wa Ibrahimu na uzao wa Ishmael mtoto haramu wa Ibrahimu, wote wanataka urithi kwa mzee wao Ibrahimu kwa maana ya ardhi aliyokuwa anamiliki Ibrahimu, seke seke liko hapo!
3.Kanuni za urithi: Kanuni za urithi za waisrael hazipishani na za waarabu. Mtoto wa haramu hana haki ya kurithi, sana sana baba akiwa hai anaweza kumpa chochote kama sehemu ya uwajibikaji wa matunzo ya mtoto/ mwana wake, lakini haihesabiki kuwa ni urithi!
Kwa maana hiyo uzao wa Ishmael hauna sehemu ya urithi kwa Ibrahim, bali uzao wa Ishmael ambao ni waarabu wakiwemo na wapalestina wana haki ya kurithi kwa Ishmael! Mungu alimpa Ishmael ardhi kubwa na utajiri mkubwa sana! Kwa bahati mbaya waarabu wamewatenga ndugu zao na waarabu wenzao waitwao wapalestina kwenye kurithi kwa mzee wao Ishmael. Lakini wanamsukumiza akarithi mahali ambapo ni mtoto wa haramu huku wakijua kabisa hata kwa mujibu wa dini yao wenyewe kuwa huko wanakomsukumizia hana urithi kwa sababu ni mtoto wa nje ya ndoa. Kwa mujibu wa uislamu mtoto wa nje ya ndoa huwa harithi. Kwa hiyo hawa waarabu wenzake ndo wamewadhulumu wapalestina urithi walioustahili kwa Ishmael maana ndiye baba yao wote!
Formula ya suluhisho: (A) Wapalestina kama walivyo waarabu wengine wanastahili kuwa na taifa lao kama walivyo wasaudia, wairan, wasyria nk. Itafutwe/zitafutwe nchi za kiarabu ambazo zina eneo kubwa zaidi kuliko waarabu wengine! Hawa wenye eneo kubwa zaidi ya wenzao ndio waliowapunja wenzao kwenye kurithi toka kwa mzee wao Ishmael! Hawa waambiwe wamege kipande muafaka cha ardhi ili wapewe ndugu zao wapalestina! Kwa nini wao warithi sehemu kubwa kuliko wengine wakati watoto wana haki sawa ya kurithi toka kwa baba yao Ishmael?
Kwa maana hiyo, Iraq, na Syria zitoe sehemu hiyo ya ardhi. Na ninapendekeza ile sehemu iliyokuwa imetekwa na IS (Islamic State) ya Syria na Iraq wapewe wapalestina kama urithi wao halali kwa baba yao Ishmael waliokuwa wamedhulumiwa na ndugu zao waarabu.
(B) Baada ya wapalestina kupewa eneo hilo, kila taifa la kiarabu liwachangie USD 5 bilioni (isipokuwa Iraq na Syria waliotoa ardhi), kama fidia kwa ndugu zao waliokuwa wamewatenga kwenye urithi! Kwa bahati nzuri hiyo ni pesa ndogo sana kwa mataifa ya kiarabu! Halafu hiyo sehemu tayari ina visima vya mafuta na Palestina litakuwa taifa kubwa na lenye nguvu na uchumi mzuri sana ndani ya miaka 5 tu! Mji wake mkuu napendekeza uwe Allepo!
Kama kila taifa LA kiarabu likichachangia hivyo, miji yote iliyoharibiwa kwa vita dhidi ya IS itajengwa upya! Na taasisi za kielimu kama shule na vyuo vitajengwa upya!
Kama waarabu wakikataa, basi wakome kulaumu na kulalamika! Kama wao wameshindwa kumsaidia ndugu yao, kwa nini wanategemea akakaribishwe na kupewa urithi ambako ni mtoto wa kambo? Nawasilisha na karibuni kwa michango!
Hicho kitu ulichoandika hakiko sawa kwasababu mtoto wa haram au wa nje yandoa hana urithi kwa baba urithi wake upo ujombani kwake hata ubini wake anatakiwa atumie jina la mjomba wake.
 
Taifa dogo ni wapalestina,Israel anasaidiwa na America,silaha,misaada.America aache kuwqsaidia,uone watavyosamvaratika.
Kama Israel,ingekuwa kama Palestina, wasiopata msaada kokote,ingekuwa imeshasahaulika.
eti taifa dogo kama hujui Israel inaitawala dunia kwa kipunjo tatizo source ya ilimu yako ni Yule abdul qathem yeye bila kuvaa chupi ya mkewe hapati wahyi
1465d340f1db38576f35bc5be263894d.jpg
 
Mkristo kila siku anafanya Ibada.. ooh koloani ngumu allah amesha sema klkoloani ni rahisi mno View attachment 649236 na imeletwa kuwaonya wasio onywa na Baba zao
26d09147060124ed7bd56f8bd4448ee1.jpg
Quran 36:6 koloani ngumu kadanganye kwa wajinga wenza
Siku zote ,nakuambia uwelewa wako mdogo,sikukuambia Qur'an ngumu,nimekuambia huielewi,tofautisha
1:Ngumu
2:Huelewi.
Vitu viwili tofauti.Biblia imekushinda kujua siku yenu ya ibada kati ya
,1:Jumamosi
2:Jumapili
Mmetofautiana.
Dini moja, kila dhehebu lina biblia yake,biblia ziko a in a tofauti 60,za kiingereza.
 
Ibrahimu alikubaliana na Sara kuingia kwa Hajiri na kumfanya awe mke! Hakuwa halali kwa mujibu wa mila za wayahudi! Myahudi huwa haozeshwi na mkewe! Walikubaliana kitu ambacho hata Sara alikuwa anajua kuwa huyo si mke. Ukitaka kuelewa mawazo ya Sara usiishie kuyasoma kwenye sura hii tu, yasome pia kwenye kitabu cha Mwanzo 21:9-11. Nanukuu yote kwa faida ya wasomaji: "Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye Alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka. Kwa hiyo akamwambia Ibrahimu, mfukuze MJAKAZI huyu na mwanawe maana mwana qa MJAKAZI HATARITHI pamoja na mwanangu Isaka. Neno hili likawa baya sana machoni pa Ibrahimu, kwa ajili ya mwanawe, MUNGU akamwambia Ibrahimu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana na huyo MJAKAZI wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake , kwa maana katika ISAKA uzao wako utaitwa". Mwisho wa kunukuu!
Sura ile ya 16 lazima isomwe pamoja na sura ya 21 ili kulielewa jambo hili katika muktadha wake! Mchezaji mkubwa hapa katika kuzaliwa kwa Ishmael ni Sarah! Ndiye aliyekuwa anajua anachokitafuta! Kabla, kwenye, na baada ya sura ya 16 Hajiri ni mjakazi, katika sura ya 16 Ibrahimu anagilibiwa na mkewe kuwa anapewa Hajiri awe kama mke, wakati Ibrahimu anajua kabisa utaratibu wa kiyahudi wa kuoa siyo huo, na moyoni Sara alijua anamgilibu tu ili apate mtoto lakini kiukweli na kiuhalisia kwa Sara na kwa Mungu ni kuwa Hajiri hajabadilisha nafasi, bado ni MJAKAZI na siyo MKE. Hata Ibrahimu mwenyewe hakuwa anamnena Hajiri kama mke kwenye sura hii ya mwanzo 16:6 nanukuu "Naye Ibrahimu akamwambia Sarai, tazama MJAKAZI wako yu mkononi mwako, mtendee lililo jema machoni pako. Sarai akamtesa naye akakimbia kutoka mbele zake". Mwisho wa kunukuu. Unaona hata Ibrahimu hakuwahi kumwita Hajiri kama MKE! Anamnena kama mjakazi. Baada ya sura ya 16 Hajiri aliendelea kuitwa mjakazi na Sara kama nilivyonukuu hapo juu kwenye sura ya 21:9-12. Tumeona hapa Sara anamwambia Ibrahimu amfukuze MJAKAZI na siyo MKE! Lakini funga kazi ni huu mstari wa 12 ambapo Mungu mwenyewe anasema Hajiri ni MJAKAZI hasemi ni MKE! Nanukuu tena: Mwanzo 21:11 "Mungu akamwambia Ibrahimu, Neno hili lisiwe baya machoni pako kwa ajili ya huyo mwana na huyo MJAKAZI wako. Kila akuambialo Sara , sikiza sauti yake kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa" Kama Mungu anasema Hajiri ni MJAKAZI, Sara anasema Hajiri ni Mjakazi, na Ibrahimu mwenyewe kwenye hiyo sura ya 16 anasema Hajiri ni MJAKAZI , ni nani wewe uweze kusema ni mkewe? Sana sana umeshindwa kuyaelewa maandiko kwa mujibu wa muktadha (context).
Hitimisho: Hajiri ni mjakazi kabla, wakati na baada ya kumzaa Ishmael na aliendelea kutoa huduma kama mjakazi mikononi mwa Sara mpaka alipoondoka alikuwa ni MJAKAZI, na wahusika wote: Sara, Ibrahimu na Mungu mwenyewe walimwita hivyo. Kwa hiyo hana urithi kwa Ibrahimu! Hana urithi kwa Israel.
Wengi wenu hamjui mahali alipokuwa akiishi Ibrahim hadi kusema kuwa ardhi alioacha ni haki ya Waisrael. Rejea maandiko ya Biblia na Quran kwamba Ibrahimu alikuwa mzaliwa na raia wa Mesopotania ambayo ni Iraq ya leo. Alipozaliwa ishmael bi. Sarah akawa na wivu na kumchukia Hajir hivyo Ibrahim aliwahamishia nchi ya Bakkah ambayo ni Makkah kwa leo.

Jacobo akiwa huko kwa babu yake (Mesopotania) alizaa watoto 12 mmoja wapo akauzwa Misri. Baada ya miaka kadhaa huyu Joseph aliyeuzwa na nduguze kwa wafanyabiashara wa Kimisri akaja kuwa Mtawala.

Kupitia utawala wake akawahamisha ndugu zake tokea huko walipokuwa wakiishi hadi Misri. Baada ya miaka karne kadhaa mateso kwa wana wa Israeli yalipozidi ndipo Mungu akamtuma Musa kuwakomboa wana wa Israel na kuwapeleka nchi ya Ahadi. Lakin kwa mujibu wa maandiko yote matakatifu, hawa watu hawakuwahi kufika nchi ya ahadi na kupewa na Mungu baada ya kufanya maovu mengi ikiwa ni pamoja na kuabudu ndama wa dhahabu.

Mungu aliwalaani na kuwaacha wakihangaika jangwani kwa miaka 40. Ndipo walipoanza kujipenyeza katika mji wa Wafilisti ambao ni Yerusalem. Hapo wakawa wanaishi lakin kwa mateso hadi Nabii Daud alipokuja kumtwanga Goliath na kuwa mfalme wa Yerusalem.

Kwa kumalizia ni kwamba, Yerusalem ni nchi halali ya wafilisti aka Wapalestina
 
Siku zote ,nakuambia uwelewa wako mdogo,sikukuambia Qur'an ngumu,nimekuambia huielewi,tofautisha
1:Ngumu
2:Huelewi.
Vitu viwili tofauti.Biblia imekushinda kujua siku yenu ya ibada kati ya
,1:Jumamosi
2:Jumapili
Mmetofautiana.
Dini moja, kila dhehebu lina biblia yake,biblia ziko a in a tofauti 60,za kiingereza.

wewe ndie huelewi Biblia Takatifu wala qaraa tukutu kinacho kuvutia ubaki huko kwenye deen hiyo ni uchu wako wa kwenda kungonoka sardaus ungeielewa kama Mimi mjuzi walahi ayat hii
19-surah-maryam-mary-72-728.jpg
ingekukimbiza huko na kufahamu kwamba hii ya kungonoka ni chambo ya shetani Baada ya kujua mateja ya ngono mengi duniani....wee na akili zako eti unaamini unaenda kata mauno mbele ya allah kingine kuogopa kugeuzwa kibla
534a261feff7816764834e8b6b5a8101.jpg
daah ndio wengine hatuna Shaka asilan kwamba
al.jpg
wee si nimesha kujibu Wakristo wanaabudu kila siku ona khitlafu
806b73d101b0a9498aa9c6ca2c058ff5.jpg
c44ae8d627c321722465679679738a9c.jpg
a28745f2811df72b7704de6bc8b290c2.jpg
....
 
Hivi watu wengine Biblia huwa mnazisomaje hivi kweli unalazimisha Ishmail alikuwa mtoto wa nje ya ndoa.naomba unipe hivyo vifungu.

Kwa nini watoto wa Bilha na Zilpa walipewa urithi kama mojawapo ya watoto wa Yakobo japo mama zao walikuwa vijakazi.
Hapa logic ni ndogo tu, we tiari umehaidiwa taifa kubwa tu, inawezekanaje uje ugombee kipandw cha ardhi huku??.... ni sawa wewe upewe shamba la ekari 500, alafu baadae uje ulilie plot ya sqm 600! Inaingiaje akilini??
 
Sikiliza ndugu yangu kitu ambacho inabidi ukielewe ni hivi ifuatavyo

1. Abrahamu hakuwa Myahudi, bali Alikuwa Mhebrania, aliyetoka UR wa Kardayo huko Iraki. Kiufupi Yakobo ambaye ni Israel mwenyewe ni mjukuu wa Ibrahim, na Ibrahim alikuwa na wajukuu wengi tu kutoka kwa watoto wake wengine tofauti na ISAKA. Myahudi wa Kwanza ni Yuda, kitukuu wa Ibrahim, huyu ndiyo baba wa kabila la Yuda

2. Abraham hakufungwa na sheria za Torah na za wana wa Israel, maana yeye aliishi miaka mingi sana kabla ya akina Musa na manabii wengine waliofuata kupewa sheria

3. Biblia inasema Sara alimtwaa Hajara na kumpa Abraham AWE MKE wake, Hili neno awe MKE wake hamlitaki kuliona, mnaleta tafsiri mnayoitaka wenyewe!. Sasa mtu atazini vipi na mke wake?. Ngoja nikuwekee andiko vizuri ili uelewe!

GENESIS 16:1-3 "Now Sarai Abram's wife bare him no children: and she had an handmaid, an Egyptian, whose name was Hagar. And Sarai said unto Abram, Behold now, the LORD hath restrained me from bearing: I pray thee, go in unto my maid; it may be that I may obtain children by her. And Abram hearkened to the voice of Sarai. And Sarai Abram's wife took Hagar her maid the Egyptian, after Abram had dwelt ten years in the land of Canaan, and gave her to her husband Abram to be his wife."

Soma hapo, nanukuu " And gave her to husband to be his wife....", huu ni ushahidi ea andiko kuwa Hajar alizaa na Abraham akiwa ni mke wake halali wa pili, Kumbuka ndugu yangu kuwa, Abraham alikuwa wa kale sana hafungwi na sheria za Taurati na manabii wa Israel kwa maana hivyo vimekuja baadae sana.

4. Ukiachilia Ismael na Isihaka, Abraham alikuwa na watoto wengine wengi tu kwa mke mwingine aliyemuoa baada ya Sara kufa, sasa wasiojua bible wanaireduce Stori ya mzee Ibrahim kwa watoto wawili tu, huo siyo ukweli wote

5. Ibrahim kuoa KIJAKAZI ( biblia inasema ni MKE haisemi ni mchepuko) siyo hoja, kwa sababu ujakazi ni kazi tu, na mfano nimetoa huko juu kuwa Dani mtoto wa Yakobo anayeunda kabila moja la wana wa Israel naye ni mtoto wa Kijakazi aitwaye Bilhah, Siyo Dani tu hata mtoto mwingine wa Yakobo aitwaye Gadi ni mtoto wa Mjakazi, Na siyo Gadi peke yake hata mtoto mwingine wa Yakobo aitwaye Asheri mama yake ni mjakazi. Kumbuka ndugu yangu kuwa Dani, Gadi na Asheri ni miongoni mwa makabila 12 ya wana wa Israel. Hivi mnapata wapi nyinyi hoja za Kumsimanga Ishmael kwa kuzaliwa na Mjakazi?
Soma Genesisi 30:2-10

NITOE ONYO:
Abraham ni kipenzi cha Mwenyezi Mungu, na Mungu amebariki utajo wake mpaka siku ya mwisho, Kumsimanga au kumsema vibaya BABA WA IMANI au kumdhihaki unakuwa unajitafutia balaa wewe!.
Sheria za Ndoa time hizo ziliruhusu Mkeo kuchukua nafasi ya wazazi wa Maid kupokea mahari ili mjakazi aolewe na yeyote? Kama sio basi Mtoto Ishmael ni Bastard na bastard anaeleweka ni mtoto haram wa nje ya ndoa
 
wewe ndie huelewi Biblia Takatifu wala qaraa tukutu kinacho kuvutia ubaki huko kwenye deen hiyo ni uchu wako wa kwenda kungonoka sardaus ungeielewa kama Mimi mjuzi walahi ayat hii View attachment 649343 ingekukimbiza huko na kufahamu kwamba hii ya kungonoka ni chambo ya shetani Baada ya kujua mateja ya ngono mengi duniani....wee na akili zako eti unaamini unaenda kata mauno mbele ya allah kingine kuogopa kugeuzwa kibla
534a261feff7816764834e8b6b5a8101.jpg
daah ndio wengine hatuna Shaka asilan kwamba View attachment 649355 wee si nimesha kujibu Wakristo wanaabudu kila siku ona khitlafu
806b73d101b0a9498aa9c6ca2c058ff5.jpg
c44ae8d627c321722465679679738a9c.jpg
a28745f2811df72b7704de6bc8b290c2.jpg
....
Qaradawi ni muongo mbona nchi zingine watu wanabadilisha from muslim to another na wala hawauliwi... and Arabuni watu wapo wa kutosha wana dini tofauti na uislam na wapo salama tu ukiachia isis walivyokuwa wanawaua na kuwabaka nabkuwageuza wake zao kulilazima waabudu sanamu kabila la Yazid waarabu wanaoendeleza tamaduni za kiarabu za dini zao asilia.
 
Ibrahimu alikubaliana na Sara kuingia kwa Hajiri na kumfanya awe mke! Hakuwa halali kwa mujibu wa mila za wayahudi! Myahudi huwa haozeshwi na mkewe! Walikubaliana kitu ambacho hata Sara alikuwa anajua kuwa huyo si mke. Ukitaka kuelewa mawazo ya Sara usiishie kuyasoma kwenye sura hii tu, yasome pia kwenye kitabu cha Mwanzo 21:9-11. Nanukuu yote kwa faida ya wasomaji: "Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye Alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka. Kwa hiyo akamwambia Ibrahimu, mfukuze MJAKAZI huyu na mwanawe maana mwana qa MJAKAZI HATARITHI pamoja na mwanangu Isaka. Neno hili likawa baya sana machoni pa Ibrahimu, kwa ajili ya mwanawe, MUNGU akamwambia Ibrahimu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana na huyo MJAKAZI wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake , kwa maana katika ISAKA uzao wako utaitwa". Mwisho wa kunukuu!
Sura ile ya 16 lazima isomwe pamoja na sura ya 21 ili kulielewa jambo hili katika muktadha wake! Mchezaji mkubwa hapa katika kuzaliwa kwa Ishmael ni Sarah! Ndiye aliyekuwa anajua anachokitafuta! Kabla, kwenye, na baada ya sura ya 16 Hajiri ni mjakazi, katika sura ya 16 Ibrahimu anagilibiwa na mkewe kuwa anapewa Hajiri awe kama mke, wakati Ibrahimu anajua kabisa utaratibu wa kiyahudi wa kuoa siyo huo, na moyoni Sara alijua anamgilibu tu ili apate mtoto lakini kiukweli na kiuhalisia kwa Sara na kwa Mungu ni kuwa Hajiri hajabadilisha nafasi, bado ni MJAKAZI na siyo MKE. Hata Ibrahimu mwenyewe hakuwa anamnena Hajiri kama mke kwenye sura hii ya mwanzo 16:6 nanukuu "Naye Ibrahimu akamwambia Sarai, tazama MJAKAZI wako yu mkononi mwako, mtendee lililo jema machoni pako. Sarai akamtesa naye akakimbia kutoka mbele zake". Mwisho wa kunukuu. Unaona hata Ibrahimu hakuwahi kumwita Hajiri kama MKE! Anamnena kama mjakazi. Baada ya sura ya 16 Hajiri aliendelea kuitwa mjakazi na Sara kama nilivyonukuu hapo juu kwenye sura ya 21:9-12. Tumeona hapa Sara anamwambia Ibrahimu amfukuze MJAKAZI na siyo MKE! Lakini funga kazi ni huu mstari wa 12 ambapo Mungu mwenyewe anasema Hajiri ni MJAKAZI hasemi ni MKE! Nanukuu tena: Mwanzo 21:11 "Mungu akamwambia Ibrahimu, Neno hili lisiwe baya machoni pako kwa ajili ya huyo mwana na huyo MJAKAZI wako. Kila akuambialo Sara , sikiza sauti yake kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa" Kama Mungu anasema Hajiri ni MJAKAZI, Sara anasema Hajiri ni Mjakazi, na Ibrahimu mwenyewe kwenye hiyo sura ya 16 anasema Hajiri ni MJAKAZI , ni nani wewe uweze kusema ni mkewe? Sana sana umeshindwa kuyaelewa maandiko kwa mujibu wa muktadha (context).
Hitimisho: Hajiri ni mjakazi kabla, wakati na baada ya kumzaa Ishmael na aliendelea kutoa huduma kama mjakazi mikononi mwa Sara mpaka alipoondoka alikuwa ni MJAKAZI, na wahusika wote: Sara, Ibrahimu na Mungu mwenyewe walimwita hivyo. Kwa hiyo hana urithi kwa Ibrahimu! Hana urithi kwa Israel.
Maelezo makini sana haya
 
Qaradawi ni muongo mbona nchi zingine watu wanabadilisha from muslim to another na wala hawauliwi... and Arabuni watu wapo wa kutosha wana dini tofauti na uislam na wapo salama tu ukiachia isis walivyokuwa wanawaua na kuwabaka nabkuwageuza wake zao kulilazima waabudu sanamu kabila la Yazid waarabu wanaoendeleza tamaduni za kiarabu za dini zao asilia.
Wanakiuka maagizo ya Allah

قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ صَاغِرُونَ ( 29 )
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari
yao, hali wamet'ii.
 
Sijapata kuona kufuru mbaya namna hii! Kwamba mwanaharamu arithi sawa sawa na mwana wa haki! Jerusalem ni moja; haigawanyiki; wala haichangiwi! The City of God; the City of Jacob. Jerusalem haifananishwi na nwingine wowote ule; sio Vatican, sio Mecca!
Kwani Yussuf mumewe María si mtoto wa mjakazi nae ? Tukiamua Yesu asihusiane na Yusufu basi hatoweza kuwa Masihi....
Wajakazi kwa Mila za Kiyahudi na Kiarabu ni halali Yao......
 
Back
Top Bottom