BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,024
Huyu Button nimeshamzoea,anyway hongera zake. Ferrari pia mmefanya vizuri,safi Kibs. McLaren hoi na mwaka mbaya kwao, no hopes wala nini.. Na hizo barabara za Monaco mmh!Pole yake Nakajima,sijui kapata point..