Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,421
- 2,271
- Thread starter
- #41
Cha kushangaza ni kwamba hiyo team ya Milton Keynes imeshinda bila ya kuwa na diffuser kama za Brawn na wanategemea wakifika raundi ya Ulaya watakuwa na double diffuser zao. Hii inamaanisha kuwa japo Ferrari walilalamikia diffuser ukweli wa mambo kuna zaidi ya ilo katika magari yao mwaka huu.