Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

uko sahihi, watu wasijidanganye na matokeo haya...mercedes wako 0.5sec faster kuliko gari inayofuata na leo ni machenical failure tu ndio zimeleta matokeo haya...gari ya Hamilton imesuffer brake failure.

Mercedez zimekimbia Tangu Australia bila matatizo kwa hivyo lazima wataanza kupata matatizo ya kimakanika hii huwa ni kawaida kwa magari haya ya langalanga
 
Mercedez zimekimbia Tangu Australia bila matatizo kwa hivyo lazima wataanza kupata matatizo ya kimakanika hii huwa ni kawaida kwa magari haya ya langalanga

Hivi hili jina limetokea wapi? Naona BBC Sport hupenda sana kulitumia...
 
Lol Kama kweli atakuwa mtu wa huku na Kule mchagua jembe! Ila Lewis Hamilton Ferrari atapendeza ila sioni Marcedes atakuwepo next 2yrs.
Kibunango anatuzingua huyo, Ferrari hii nani atakua mjinga kuondoka from a winning team aende huko
BTW Hamilton amekuwa fastest kwenye P2
 
Last edited by a moderator:
Wakuu qualifying imetokea miujiza gani tena?

FINAL QUALIFYING RESULT
1) Massa 2) Bottas 3) Rosberg 4) Alonso 5) Ricciardo 6) Magnussen 7) Kvyat 8) Raikkonen 9) Hamilton 10) Hulkenberg

11) Perez 12) Button 13) Vettel 14) Maldonado 15) Vergne 16) Grosjean 17) Sutil 18) Gutierrez 19) Bianchi 20) Kobayashi 21) Chilton 22) Ericsson
Kibunango utahitajika kutoa maelezo ya kina maana ulianza "kumuwangia" Hamilton toka juzi na kwa mara nyingine tena "bundi" wako kalia juu ya nyumba ileile. Lol
 
Last edited by a moderator:
Leo team Martini Williams Mercedes wamakamata pos 1&2 kwenye grid. Hamilton anaonekana kushindana zaidi na Nico kuliko kushindana kwenye race same applies kwa Sebastian Vettel ndio maana Mara nyingi wameishia kupata fault kwenye magari... Well done Massa & Bottas...
 
Kibunango anatuzingua huyo, Ferrari hii nani atakua mjinga kuondoka from a winning team aende huko
BTW Hamilton amekuwa fastest kwenye P2

Nadhani LH anamiliki Ferrari na sio kwamba alienda kutafuta nafasi ya kuwa #2 driver wakati yeye tayari ni #1 kwenye team yake!
 
Last edited by a moderator:
Kibunango utahitajika kutoa maelezo ya kina maana ulianza "kumuwangia" Hamilton toka juzi na kwa mara nyingine tena "bundi" wako kalia juu ya nyumba ileile. Lol

Mkuu jibu zuri ni hili hapa chini.....

Hamilton anaonekana kushindana zaidi na Nico kuliko kushindana kwenye race same applies kwa Sebastian Vettel ndio maana Mara nyingi wameishia kupata fault kwenye magari...
 
Wakati mwingine watu wetu wa lugha wanalazimisha sana mpaka wanaharibu
wanaharibu lugha na sababu ya kuharibika Lugha ni Wabunge wetu nao bungeni hawaeleweki mara Kiengereza mara Kiswahili unategemea kijijini wataelewa? Mtu anasema neno Mchepuko bungeni. Hamilton Leo nimekosa raha ila kesho mungu akijalia mashindano yatakuwa mazuri, Hamilton afanye kufikiria yake na siyawenzake ni kweli.
 
wanaharibu lugha na sababu ya kuharibika Lugha ni Wabunge wetu nao bungeni hawaeleweki mara Kiengereza mara Kiswahili unategemea kijijini wataelewa? Mtu anasema neno Mchepuko bungeni. Hamilton Leo nimekosa raha ila kesho mungu akijalia mashindano yatakuwa mazuri, Hamilton afanye kufikiria yake na siyawenzake ni kweli.

Tatizo ni kwamba yuko pointi 22 nyuma ya Nico, inamuuma sana hii hali
 
I'm not trying too hard - Hamilton
By Andrew Benson - Chief F1 writer

Lewis Hamilton denied he was trying too hard under pressure of the title battle after making two mistakes and qualifying ninth in Austria.
His Mercedes team-mate and title rival Nico Rosberg starts third and has now out-qualified Hamilton for three races.
"I don't think I'm trying too hard," said Hamilton, who is 22 points behind Rosberg in the championship.

Lewis Hamilton v Nico Rosberg: 'This is now a war zone'
"I went for pole. Hindsight's a wonderful thing, but I'm there to be first, nowhere else."
Hamilton ran wide at Turn Eight on his first lap in final qualifying and spun braking for the second corner on his last attempt.
"My laps have been pretty good all weekend and I knew I had extra time in my pocket," Hamilton said.
"I pulled it out for my first lap but didn't finish the lap and then the second time around I took the car into unknown territories I guess. But there's a long way to go.
"We had a lot of pace in the car so it hurts a little bit in the gut but I'll try to make up for it tomorrow [in the race]."
Rosberg was beaten by Williams drivers Felipe Massa and Valtteri Bottas, and blamed Hamilton's spin for preventing him from taking pole, saying he lost time as a result of the incident as he was behind his team-mate on the track at the time.
"That's an if and when and whenever," Rosberg said. "For sure it stopped me from having a shot at it. I don't know whether it would have worked out or not. I think so."
Asked whether he had a response, Hamilton said: "Not particularly," before joking: "It definitely wasn't deliberate."
That was a reference to the Monaco Grand Prix two races ago, when Rosberg, having set provisional pole on his first qualifying run, ran wide on his final lap and prevented Hamilton from having a chance of beating him. Hamilton was furious afterwards, feeling it had been deliberate.

Hamilton said he would be trying to win the race, despite his lowly starting position.
"Even if I'm starting last, I'm always going for the win," he said. "Obviously it gets harder and harder the further back you are.
"I have to sit down and speak to my strategist. It's so difficult to know how things can pan out.
"Do you sit back a little and wait for people's tyres to go off and then push? Do you just go all out at the beginning and potentially risk your tyres going off a bit sooner.
"I don't know what the plan of attack is but all I know is I'm going for the win.
"We'll see how it works. It's damage limitation, trying to get as many points as possible and some more points on the scoreboard."
 
Tushawazoea kila atachofanya Hamilton watu hawakosi lakuzidishia ndomana nasema Hamilton alifikirie mwenye si wengine Leo hapa tayari kaenda vizuri sasa bado ule muda wakumuharibia alafu watasema Hamilton anafanya Fujo #TeamHamilton .
 
Back
Top Bottom