Former official denies Trump's phones were tapped

Former official denies Trump's phones were tapped

Hana simile huyu halafu haambiliki. Baada ya speech yake ya State of the union ambayo ilisifiwa na wengi nikadhani sasa mambo yataanza kumuendea vizuri, lakini baada ya siku moja tu akavurunda tena.

That was some speech, mpaka baadhi ya Dems walimkubali.
But,....I guess it was just a performance.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
...And now we're back to square one.

Teh!, acha tu.

Hivi hajaanza tu kumimina tweets kwa Comey na FBI walivyonawa mikono kuhusu wiretapping, manake boss hachelewagi. 🙂
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lol! Bado anazidraft 🙂🙂 ni lazima awazukie tu!

Teh!, acha tu.

Hivi hajaanza tu kumimina tweets kwa Comey na FBI walivyonawa mikono kuhusu wiretapping, manake boss hachelewagi. 🙂
 
Lol! Bado anazidraft 🙂🙂 ni lazima awazukie tu!

Heh!, eti anazi draft. [emoji2] [emoji28]

Kamshika pabaya sana Repub mwenzake Comey. Naona itafika mahala atashindwa hata kumtetea.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Khe kheeeeeee sijui nani kamshika pabaya mwenzie. Comey anajua mwakani anamaliza awamu yake na 45th hawezi kumteua tena. Hivyo si ajabu naye kaamua kupambana kabla ya kuondoka. Kama utakumbuka 45th alimzodoa sana kwenye issue ya Hillary.

Anazidraft na kukaa nazo tayari 🙂🙂 akiona mashambulizi ya FAKE NEWS yamezidi anarusha hewani kisha anasubiri mrejesho lol! 🙂🙂🙂

Heh!, eti anazi draft. [emoji2] [emoji28]

Kamshika pabaya sana Repub mwenzake Comey. Naona itafika mahala atashindwa hata kumtetea.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kama Obama aliitaka NSA iwe inafanya monitoring kwa raia wa USA bila ya wao kujua mpaka Edward snowden akatoa siri na makundi ya kupigania haki yakajitokeza kulaani

Kama Obama aliagiza Angela Merkel awe anachunguzwa na sio yeye tu wengi tu walichunguzwa mpaka snowden akaachia siri na dunia ikajua

Iweje ashindwe kwa hili ?
 
Subiri utarudi kuniambia kuhusu hili. Obama kamwe hawezi kuruhusu upuuzi kama huu. Hizi ni techniques za Trump kudeviate attention kutoka kwenye scandals zake za kuhusiana na ukaribu wake na Russia.

Halafu huyu jamaa credibility yake ni ndogo sana labda Rais angekuwa Romney na kuyasema haya ningeweza kuamini hata kwa 60% lakini huyu jamaa, HAPANA siwezi kabisa kumuamini. There is nothing in this story. Ngoja tusubiri Mkuu tuone ushahidi husika na tumsikie Obama. Kamwe hawezi kukubali kuchafuliwa legacy yake kiasi hiki.
Tatizo lako BAK, ni kujifanya unajua saana issues za US.

Kama sijakosea, kipindi cha kura za maoni, ulihakiki sana kwamba trump hawezi kuwa president kwa hoja zako dhaifu

Leo umeanza tena kumbishia trump kwa hoja rahisi.

Mind that trump is a sitting president, ana source nyingi za taarifa kuliko were, isitoshe, as a president, hawezi kutoa serious accusations kama hizo bila kuwa na uhakika nazo, coz zinaweza kumletea shida zaidi.

Hao wanaopinga ni Obama and co, ulitarajia wakubali kirahisi

We all know ni kwa kiasi gani Obama and co wasivyompenda trump, so hilo ni la kawaida sana ukilinganisha na yanayoendelea dhidi yake na govt yake

Just in short
 
Kwani Marekani haijawahi kudukua taarifa za wananchi wake? Kama utawala wa Rais fulani waliweza kudukua taarifa za wananchi, vipi utawala mwingine usiweze kufanya hivyo?
Utawala wa Rais Obama, ndio kashfa za kudukua mawasiliano ya viongozi wengine wa mataifa mbalimbali ulifanyika, haiwezi kushindikana hata kumdukua Donald Trump.
Time will tell....
Baeleze ba ndugu, hawaelewi methali, uwezo Wa akili ni mdogo bado

Hata bashite and co still wanakana kuhusu elimu yao
 
Kama Obama aliitaka NSA iwe inafanya monitoring kwa raia wa USA bila ya wao kujua mpaka Edward snowden akatoa siri na makundi ya kupigania haki yakajitokeza kulaani

Kama Obama aliagiza Angela Merkel awe anachunguzwa na sio yeye tu wengi tu walichunguzwa mpaka snowden akaachia siri na dunia ikajua

Iweje ashindwe kwa hili ?

Nadhani hayo mambo yalianzia kwa George W baada ya Sept 11. Kwa Obama ulikuwa ni muendelezo tu!
 
Na hili ndiyo linazidi kumgharimu kila kukicha la kusema uongo usio na kichwa wala miguu. Sasa inakula kwake. WH anaiona chungu jana aliamua kuwa "low profile" sasa sijui ni kwa jana tu au kutakuwa na huu muendelezo wa "low profile"

Tatizo alilonalo Trump ni kutokujua toka mwanzo ugumu wa kuongoza taifa la marekani kama RAIS; hivi sasa ndio anaona ugumu wake na kutafuta jinsi ya kutokea, anaweka visingizo vyote vya kushindwa kwake kutawala kwa mtangulizi wake!!!
 
Na hili ndiyo linazidi kumgharimu kila kukicha la kusema uongo usio na kichwa wala miguu. Sasa inakula kwake. WH anaiona chungu jana aliamua kuwa "low profile" sasa sijui ni kwa jana tu au kutakuwa na huu muendelezo wa "low profile"

Trump is a jackass and his is doomed to fail! Nasikia hiyo Jumamosi watu kidogo wachapane makonde ndani ya Oval Office! Anawalaumu watu wake ni kwa nini hawakumpa support ya kutosha aliporusha huo uongo wake kuhusu Obama! Na vilevile hawakumtetea AG Sessions mpaka akaamua kujiweka kando kidogo pale DOJ! White House Chief Of Staff, Reince Priebus kinaweza kumuwakia wakati wowote!
 
Kellyane Conway kwa uongo wake media outlets nyingi zimemkana sasa hivi haonekani tena huyu Reince sitashangaa naye akitemwa siku chache zijazo. Bado awamu hii Mkuu haijatulia na wa kulaumiwa ni yeye mwenyewe 45th yeye ndiye chanzo kikubwa cha huu utawala wake kuyumba katika hii miezi yake ya mwanzo madarakani.

Trump is a jackass and his is doomed to fail! Nasikia hiyo Jumamosi watu kidogo wachapane makonde ndani ya Oval Office! Anawalaumu watu wake ni kwa nini hawakumpa support ya kutosha aliporusha huo uongo wake kuhusu Obama! Na vilevile hawakumtetea AG Sessions mpaka akaamua kujiweka kando kidogo pale DOJ! White House Chief Of Staff, Reince Priebus kinaweza kumuwakia wakati wowote!
 
Khe kheeeeeee sijui nani kamshika pabaya mwenzie. Comey anajua mwakani anamaliza awamu yake na 45th hawezi kumteua tena. Hivyo si ajabu naye kaamua kupambana kabla ya kuondoka. Kama utakumbuka 45th alimzodoa sana kwenye issue ya Hillary..

FBI Director James Comey was 'incredulous' over Trump's tweets - CNNPolitics.com

"The source said Comey was concerned that the allegation would make the FBI look bad, and that concern was part of what prompted the FBI director to have his staff reach out to staff at the Justice Department asking them to knock down the allegation"..

Teh!, wanalo, Comey anashindwa kuamini ya boss wake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Anazidraft na kukaa nazo tayari 🙂🙂 akiona mashambulizi ya FAKE NEWS yamezidi anarusha hewani kisha anasubiri mrejesho lol! 🙂🙂🙂

Wametaja news gani hapo walipotoa hizi report ? Did I hear NYT, the Post and all
them "Fake News". 🙂
Hizo media leo zimekuwa Real, naona wameshikilia hapo tu kuwa hizo media zimesema cos wameongea wanayooenda Trump and comp. Khe khe!....🙂
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom