Former Cabinet Minister and Attorney General Charles Njonjo is dead

Aaaaaaa 😆😆😆huyu bwana alimpa hard time sana mzee Moi kipindi akiwa Rais, na alikuwa na dharau mingi sana na alikuwa ni mtu wa msimamo sana.

Na alikuwa na mategemeo kuwa akifa Jomo Kenyata basi yeye ndo angekuwa mrithi wake badala ya Moi kwasababu Njonjo alikuwa ni Mkikuyu msomi lakini lakini mzee Kenyata akawa karibu na kumuamini sana mzee Moi, siku zote watawala hupenda watu wasiokuwa na uwezo na profile ya kutisha kuwa manaibu wao.

Kwa msimamo wake Charles Njojo kuna kipindi aliwagomea wazungu kusoma kitu ambacho a
Alilaumiwa kama State Attorney General kuweka mazingira ya assassinations kuzidi nchini.
 
Huyu ni mwanasheria nguli wa Kenya aliyekuwa amebaki hai katika baraza la kwanza la marehemu mzee Jomo kenyatta ni miongoni wa Waafrika waliokuwa hamwamini mwafrika mwenzake alioa mzungu akiwa na umri wa miaka 56 hakutaka kupanda ndege iliyokuwa inaendeshwa na Rubanj Mweusi hakuamini kabisa mtu mweusi anaweza alishangilia Sana Kuvunjika kwa iliyokuwa JUMUIYA YA AFRICA MASHARIKI alifungua CHAMPENI ndani ya bunge kwa furaha amefariki Leo alfajiri na mwili wake kuchomwa moto mchana huu wa tarehe 02/01/2022
.... ameacha ukwasi unaokadiriwa kufikia USD 3 bn. Alikuwa ameshika ardhi ya kutosha kila pande ya Kenya.
 
Duh! aisee unamjuwa vizuri huyu jamaa... nadhani unaweza kuandika Biography yake.
Moi alipopata madaraka tu Njonjo akatimkia London kuepuka assassination kama Ngugi wa Thiong'o alivyomtoroka Jomo Kenyatta kufuatia kitabu chake cha "Petals of Blood" tumekisoma literature form III.

1641140728639.png
 
Charles Njonjo aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya amefariki alfajiri ya leo 02.01.2022 saa 05:00Hrs aged 101. Aliacha wosia akifariki "asicheleweshwe" hivyo asubuhi majira ya 08:00hrs tayari amechomwa moto sawa sawa na wosia wake. Umeelewa?
Kikuyu wanapenda sana kuchomana (cremation). Mshindi wa tuzo maarufu duniani ya Nobel Prof. Wangari Maathai (Kikuyu) naye aliacha wosia achomwe ili kuokoa mazingira (magogo ya mbao za jeneza) ya Mt. Kenya. Wangari alikuwa Green-belt Activist.

1641156383618.png

1641156559151.png

1641156786026.png


Taswira zote kwa hisani ya google.
 
Back
Top Bottom