Form six leaver kupitia NACTE

Form six leaver kupitia NACTE

Amekwenda leo TCU kaambiwa aaply watakapofungua third round hivi soon....sababu hawezi kupata chuo kwa kupitia NACTE.
 
umekosea,NACTE kupitia NOAS una apply degree ila inatumika na wale ambao tayari wana diploma,ila TCU kupitia CAS inatumia na wale ambao wanatumia matokeo ya form six(hawatumii sifa ya kuwa na diploma kuomba),iko hivyo mkuu.

Mimi niliapply tcu (cas) na nina.diploma na nimepangiwa chuo
 
Back
Top Bottom