Form IV, VI exam dates changed

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,210
BY DAVID KISANGA 28th September 2012 Email
Print
Comments Aim is to ensure teachers have ample
time to mark papers Effective next year, Form Six and Four
students will sit for their national
examinations in May and November
respectively, instead of February and
October, the government has
confirmed.The move is aimed at enabling teachers to mark the examinations
during June and December holidays, the
National Examinations Council of
Tanzania (NECTA) said, adding that it will
recruit more teachers for marking the
final examinations countrywide.

Speaking in an interview with The
Guardian yesterday in Dar es Salaam John
Nchimbi NECTA‘s Public Relations Officer
said that the council proposed
reinstatement of the system to the
Ministry of Education and Vocational Training. “The marking exercise will take place
during school holidays, providing
teachers with ample time to mark the
exams, hence provide accurate results,”
he said. He said the Ministry has endorsed the
proposal to allow more teachers to be
involved in the exam marking. “We have been experiencing difficulties
in getting teachers for marking the
papers, because by the time the students
sit for the examinations, schools are still
in session,” he said. “We hope that this system will make the
marking more effective and ensure
better results.”

When contacted to give details on the
issue, Education and Vocational Deputy
Ministry, Philipo Mulugo confirmed that
the ministry had endorsed the NECTA
proposal. “My ministry went through the proposal
to satisfy itself that it will not have any
negative effects and accepted it. We
found it to be a good idea and very
helpful to teachers in having ample time
when it comes to marking the examinations,” he underlined. Mulugo assured students set to sit for
next year’s examinations that the new
system will not affect their preparations
because it has been implemented to
enable teachers assigned to do their job
accurately.
The current system of holding Form Four
examinations in October was adopted in
2005 while that of holding Form Six
exams in February was adopted in 2006.
Source: The Guardian
 
Nieleweshe! 4m6 wa saiz watafanya mtiani wao mwz wa2 au 5.na ratiba ilsha tokaga ya mwez wa 2. Na istoshe 4m4 wanaanza tare 8 october,, sasa hapa pakoje... 4m6 mwka uu wanaucka
 
Nieleweshe! 4m6 wa saiz watafanya mtiani wao mwz wa2 au 5.na ratiba ilsha tokaga ya mwez wa 2. Na istoshe 4m4 wanaanza tare 8 october,, sasa hapa pakoje... 4m6 mwka uu wanaucka?
 
Nieleweshe! 4m6 wa saiz watafanya mtiani wao mwz wa2 au 5.na ratiba ilsha tokaga ya mwez wa 2. Na istoshe 4m4 wanaanza tare 8 october,, sasa hapa pakoje... 4m6 mwka uu wanaucka
Hii inaanza next year mkuu maana wa sasa hawawezi kusubiri tena hadi next year. Kwa maana hiyo form six na four za sasa na form v hopeful hawatafuata mkondo huu. Waliopo form 3 will do.
 
Mbona ni rahisis sna na jibu kipo wazi; WARAKA HUU UNAANZA KUTUMIKA TAREHE 01/01/2013 NA KUFUTA WARAKA NAMBA NNE.
Fahamu ya kwamba Waraka kutoka Wizarani ndio unasema nini kifanyike na lini kifanyike, Waraka kutoka Wizarani una nguvu kuliko hiyo Ratiba kutoka NECTA, kwani NECTA inawajibika kwa Wizara, na NECTA pamoja na wadau wengine ndio waliyoomba mapendekezo hayo.
Hebu jaribu kupitia Waraka kwa makini zaidi.
Mabadiliko yanagharama!!
 
nimeulewa kuhusu ratiba ya kufanyika kwa mtihani mimi swali langu la nyongeza kwa wanafunzi wa form six watakaofanya mtihani mwezi may je usahihishaji na mpka kutolewa kwa matokeo je watawezeshwa kuingia chuo mwezi september? na harakati za TCU zenyewe zinachukua mwezi mzima kuselect wanafunzi au watakuwa wanaingia mwaka unaofuata baada ya jeshi la kujenga taifa kurudishwa watakuwa busy huko? bado sijaelewa elewa kidogo mwenye kujua anijuze
 
Mabadiloko hayo yataanza mwaka 2013. Kwa wewe wa kidato cha nne huna sababu ya kuuliza mtihani wako ni tar 8 oktoba hii. Kidato cha 6 mwaka 2013 watafanya may badala ya mwezi wa pili. Umeelewa wewe unayeuliza? Kama ngeli inapanda soma stori ya dailynews iliyowekwa hapa jamvini kama haiandi amini nachokwambia.
 
Kwa ppo! Anaefikiria kwa makin ataelewa hiki... Kama 4m6 watafanya may mtian ni impossible 4m4 wafanye october! Hii inadhiilisha waz kua 4m6 wa term í hawaucki ka alvo sema Zogwale NAILAUMU GOVRMNT haiko makin na maamuz yake! Na itasabisha vurugu kwa stdnt wa kdato cha 6! Hawawez wakatoa maamuz magum kama haya mwshon mwa 4m6 kufinish af nao wausike... Awako serious!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom