Form 5 & 6 PCB Combination special program

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Naishauri serikali kuwapa wanafunzi wa 5 & 6 Special favor

Shule zenye Combi za PCB wapewe vifaa bora vya maabara na chemically za kutosha

Waalimu wa PCB Form 5 & 6 wapewe motisha hali ya juu

Wanafunzi wa PCB Form 5 & 6 walipiwe ada Form 5 & 6

Tanzania tunalia upungufu wa Madaktari, Clinical Officers/Medical Assistances

Kuanzia mkazo pale chuo kikuu MUHAS au KCMC au Bugando haitoi matokei makubwa sana
 
Kabla hatujafika huko serikali iajiri medical personnels wote walio mtaani kuliko kulimbikiza intake zaidi ya moja na kuzinufaisha public sectors na nchi jirani
 
Ooh, kumbe Serikali imeacha Medical personnel mtaani?

Serikali haina pesa au?
 
Back
Top Bottom