juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
Nimemaliza form four mwaka 2008 na nikapata division 3 ya 24 ila sikubahatika kupata shule ya serikali ili kuendelea na kidato cha tano, na kwetu hakukuwa na uwezo wa kunipeleka shule za kulipia(private).
Hivyo elimu yangu ikaishia hapo lakini Bado natamani sana kusoma hata kama Sitapata ajira ila natamani na mimi nionekane ni mmoja ya wasomi wa nchi hii.
Je, niamue kipi kati ya haya? Nisome kidato cha 5 na 6 mwaka mmoja au niende tu chuo moja kwa moja?
Form Four masomo na ufaulu wangu ulikuwa kama ifuatavyo.. Maths F, biology C, History C, Geography D, Kiswahili D, Civics C, English B..