Form 5&6 mwaka mmoja au chuo niamue lipi?

Huna akili na inaelekea wewe sio msomaji wa mada ukaimaliza..
Mkuu naona hawajakuelewa.

Wewe unachotaka ni degree haijalishi ni gani. Hata kama ni ya uendawazimu.

Mimi kwa upande wangu kufanya mambo yasiwe mengi. Nenda kapige A level kama private candidate. Combination rahisi ni hkl. Mwakani mwezi wa tano anza process za kusoma. 2024 ukaanze degree ya political science au public administration pale Mlimani ukiwa na one yako kali.

Best of luck
 
Soma advnc mwaka mmoja kachukue degrees piga hgl haina mamb mengi
 
Kama ni mwaka mmoja kwa 5&6 kwa advance nenda maana ukipiga hapo miaka mitatu mbele una degree..ila ukienda diploma utakuwa ndani ya miaka 2 unadiploma mpaka umalizw degree 3 Tena jumla ni mitano..
 
Asante kwa ushauri mkuu!! Wewe umenielewa vizuri sana asante! Ninachotaka na mimi niwe ni mmoja ya wasomi wa nchi hii
 
Kama ni mwaka mmoja kwa 5&6 kwa advance nenda maana ukipiga hapo miaka mitatu mbele una degree..ila ukienda diploma utakuwa ndani ya miaka 2 unadiploma mpaka umalizw degree 3 Tena jumla ni mitano..

Unahisi ni masomo gani yatanipa one kwa uelewa wako mkuu? Thanks Kwa ushauri pia
 
Soma advnc mwaka mmoja kachukue degrees piga hgl haina mamb mengi

Geography ina mambo mengi mkuu.o level tu ilikuwa na mambo mengi je advnc? Anyways ntajitajidi kufanyia kazi wazo lako asante
 
Unahisi ni masomo gani yatanipa one kwa uelewa wako mkuu? Thanks Kwa ushauri pia
HGL hapo unapiga fasta naona English uko njema sana ..hayo mengine Geography na History utapiga tu..Hata CBG unapiga fresh tu ..ila one kwa HGL ndo uwakika!!
 
History sina wasiwasi nayo..je kati ya geog na kiswahili lipi Lina mambo mengi?
 
Geography tatizo lake kupata A ni ngumu kuliko hata physics unaweza kujibu uwakika ukashangaa una B .. physics na masomo ya science yako accurate ukijibu uwakika unapata A ..Naona hapo angalau kiswahili ila Geography usahihishaji unazingua sana
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Soma
Jipime mwakani kabla ya kufanya paper ya 2024
 
Back
Top Bottom