Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 1,007
- 1,113
Habari wakuu, naomba mwenye link ya majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano nasikia yametoka.
Shukran
Shukran
anzisha uzi wako, acha kumwariia uzi!SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.
Bado hayajatoka