Mkuu nadhani ikifikia ya kurdiarudia then hapo hapakua na msamaha genuine and probably you might even recall msamaha uliotoa...Mheshimiwa BaK.
Mimi nakwazika na jambo moja. Ukishamsamehe then what?
Nasumbuka sana mtu anaomba msamaha halafu analazimisha mrudiane.
I prefer kumsamehe mtu kimoyo moyo.
Wengine ni wasumbufu sana bana.
...Mheshimiwa BaK.
Mimi nakwazika na jambo moja. Ukishamsamehe then what?
Nasumbuka sana mtu anaomba msamaha halafu analazimisha mrudiane.
I prefer kumsamehe mtu kimoyo moyo.
Wengine ni wasumbufu sana bana.
Mbu, unapoamua kusamehe yale uliyotendwa na kukuudhi kupita kiasi au kukukosesha raha kupita kiasi haina maana kwamba baada ya kusamehe ni lazima mrudiane. Unapoamua kusamehe hata kama hutaki tena kurudiana basi kila mmoja anaendelea kivyake vyake na maisha yake na mnaweza kuamua kubaki marafiki ili mnapokutana angalau msipitane kama maadui na hivyo kuweza kusalimiana kama watu ambao mliwahi kufahamiana kwa karibu kabisa.
...bro, my point is;
'Mtenda' anakwambia Kama hutaki kurudiana nae basi bado hujamsamehe.
Unaombwa msamaha kwa Conditions maalum (mrudiane!) Utasamehe vipi?
Mbu we unaonekana mpole sana...bro, my point is;
'Mtenda' anakwambia Kama hutaki kurudiana nae basi bado hujamsamehe.
Unaombwa msamaha kwa Conditions maalum (mrudiane!) Utasamehe vipi?
Pole sana BJ...hakuna mabaya yasiyo na mwisho. Kusahau kusema kweli ni vigumu mno! lakini unaweza kujitahidi kusamehe ili kujinusuru na maumivu/machungu makubwa yanayosababishwa na yote yaliyotokea.
Huwezi kusahau kwa sababu memory ni kazi ya ubongo, unless kama haufanyi kazi yake vizuri. Kwa kweli kusahau ni ngumu kama siyo haiwezekani kabisa.
...bro, my point is;
'Mtenda' anakwambia Kama hutaki kurudiana nae basi bado hujamsamehe.
Unaombwa msamaha kwa Conditions maalum (mrudiane!) Utasamehe vipi?
...dah,...BaK maisha yanatufunza kosa sio kosa bali kulirudia kosa.
Yaani, mtu akiwa amekukosea msamehe tu kwani hakujua alifanyalo.
Je? Anaporudia mara ya pili, ukasamehe...
mara ya tatu, ukasamehe,...
mara ya nne, na ya tano...hilo bado ni kosa tu?
Hapana. Hiyo ni dharau. Mtu anaponidharau siwezi ita ni kosa.
Ni makusudi. I don't tolerate that man! Najua thamani yangu bana.
Hebu nipeni neno jingine tofauti na kusamehe.
i have managed to forgive.....i have failed to forget most of the things....it hurts me when i remember.....its complicated...!!!
Sikujua kama MSAMAHA unaweza kuwa mgumu kiasi hiki..
nafikiri kama kweli umesamehe kutoka moyoni, huitaji kujua amekukosea mara ngapi..Huu mfano ulioutoa ni sawa kabisa na ule alioutoa Yesu..baada ya kuulizwa na mtu kwamba amsamehe ndugu yake hadi mara ngapi..akamwambia saba mara sabini
The stupid neither forgive nor forget; the naïve forgive and forget; the wise forgive but do not forget. kwa hiyo uko sawa mamii sio lazima kusahau kabisa
aaahhhh Mbu, mkuu mwenzangu, then mtu wa namna hiyo hajui mapenzi ya kweli wala maana ya msamaha, huyo ni selfish tu!!! yaani anaweka conditions tena?...bro, my point is;
'Mtenda' anakwambia Kama hutaki kurudiana nae basi bado hujamsamehe.
Unaombwa msamaha kwa Conditions maalum (mrudiane!) Utasamehe vipi?
Mbu, unapoamua kusamehe yale uliyotendwa na kukuudhi kupita kiasi au kukukosesha raha kupita kiasi haina maana kwamba baada ya kusamehe ni lazima mrudiane. Unapoamua kusamehe hata kama hutaki tena kurudiana basi kila mmoja anaendelea kivyake vyake na maisha yake na mnaweza kuamua kubaki marafiki ili mnapokutana angalau msipitane kama maadui na hivyo kuweza kusalimiana kama watu ambao mliwahi kufahamiana kwa karibu kabisa.
...mpendwa, I hate this lakini naamini my character ina fall kwenye hii category 'nyekundu' hapa chini;
...halafu, mara nyingi kosa linapojirudia na upoombwa msamaha, mtenda anakwambia eti "usihesabu makosa, yaonyesha hukunisamehe awali" ...CRAP! Yaani kwakuwa nilisamehe awali ndio tiketi ya kurudia makosa?
Well, mambo ya kunifanya 'Door-mat' yana kiwango chake. Should've learnt better how to remove the shoes before walking kwa kichwa changu!
Well, this issue is very sensitive to me. Acha niwe msomaji tu kwanza.
Bado na 'raw wounds.'
To forgive is the highest, most beautiful form of love. In return, you will receive untold peace and happiness....mpendwa, I hate this lakini naamini my character ina fall kwenye hii category 'nyekundu' hapa chini;
...halafu, mara nyingi kosa linapojirudia na upoombwa msamaha, mtenda anakwambia eti "usihesabu makosa, yaonyesha hukunisamehe awali" ...CRAP! Yaani kwakuwa nilisamehe awali ndio tiketi ya kurudia makosa?
Well, mambo ya kufanywa 'Door-mat' yana kiwango chake. Should've learnt better how to remove the shoes before walking kwa kichwa changu!
Well, this issue is very sensitive to me. Acha niwe msomaji tu kwanza.
Bado na 'raw wounds.'
hiyo dharau sasa...dah,...BaK maisha yanatufunza kosa sio kosa bali kulirudia kosa.