Faida niliyopata kwa siku mbili, Tarehe 18 april,nilipata laki 5 nikanunua rand kwa bei ya tsh 160 nikapata Rand 3125 baada ya siku mbili bei ya Rand ikapanda tarehe 20 april ikauzwa tsh 168,ina maana nikapata faida ya elf 25 kwa siku mbili ,hii biashara naona nzuri zaidi ukiwa Na mtaji mkubwa... Na risk inayokuwepo inaweza isiwe kubwa sana ukizingatia nchi yetu ukuwaji wake wa uchumi ni tatizo endelevu.