Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,583
- 28,737
Unatumia banks za kibongo kupitisha hela kule au international banks??Karibu katika ulimwengu huu before nilitumia templer sijajua kama bado anaoperate Maana kuna kipindi alistop nikachana naye.
Njia sahii ninayo iona saivi ni kupitia Bank ndani ya siku 3 pesa Yako unaipata. Lakini Broker Kama hotforex ana mawakala wake hapa bongo unaweza kucheck nayo..
Kuhusu pips Kwa wiki hilo ni swala gumu sana, Hatujui una trade pair Zipi, Hatujui your risk appetite ikoje. Inshort ni swala la mtu binasfi.
Kwenye hii Biashara unaweza kushangaa wiki ikakatika hujaona set up Nzuri Hata moja , so don't force a trade
International banksUnatumia banks za kibongo kupitisha hela kule au international banks??
Hawana usumbufu kama waliokuwa nao siku za nyuma??
Titanic ilizama na watu[emoji2960]
Broker mzuri for me naona ni exness na kiwngo cha pips knatokana na week yenyewe, your risk:Reward na stratergies pia capital is importantMambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania.
Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika hali nzuri kdg...
YessPia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika hali nzuri kdg...)
KUTOKANA NA HILI SWALI LAKO, NAKUSHAURI ACHANA NA KUDEPOSIT PESA KWA BROKER NA UJIKITE KUJIFUNZA KWENYE DEMO ACCOUNT MPAKA PALE UTAKAPOJIRIDHISHA KUWA STRATEGY YAKO INAUWEZO WA KUKUPATIA PIPS NGAPI KWA WIKI.
You've the Trading knowledge mzuri kabisa ambayo kila mtu anayo Ila huna what takes to take money out of the market na ndio Mana umeona Bora ufundishe.yaani kuchukua hela from sokoni bana zinakuwaga za Moto yaani unaziona Ila kuzichukua Ni mbinde kinyama so utakimbilia kufundisha strategy,rm,ta ,fa na mind utagusia kwa juu juu mno. Ndio Mana kwenye game hii Kuna educators wengi mno kuliko traders wenyewe Ni sawa huwa nikienda stendi ya mabasi nawaambia wale wapiga debe kuwa mbona nyie wenyewe Ni wengi kuliko abiria ,yaani mkiamua kusafiri wenyewe mnajaza mabasi yote haya na mnabakia wengine mmekosa usafiriKwa anaetiji kuijuwa trading from scratch aje nimpe mwongozo na elimu sahihi, malipo utakapoona hatua uliopo ina mwangaza
What separates very knowledgeable trader from successfull consistent profitable trader who take money out of the market.Trading issues just pm now
Mkuu mi sio mentor ila napenda kufundisha tangu nasoma ,Nimetoa traders wengi sana wala sijawahi omba at mia yao,well unasema kuchukuwa pesa sokoni ni ngumu yes ni ngumu ndio haswa. Inahitaji usiwe na uhitaji nazo ndio unazichukuwa vyema ila ukiwa na pupa hata sent uchukuwi, alafu kupoteza kawaida mi nshapoteza miezi mfululizo no profit ila tatizo iikuwa sikolojia, alafu saiv trading sio kama zamani kuna funding acc nami ndo nina trade sana izo 100k funded na nipo up 10percentWhat separates very knowledgeable trader from successfull consistent profitable trader who take money out of the market.
Naomba login details zile investor password nione your trading history yako mkuu.
Umesha withdraw Mara ngapi tokea uanze ku trade
CHa kumwagilia?Bora ukafanye kilimo
Mkuu mwisho wa siku wanalipa kweli?Mkuu mi sio mentor ila napenda kufundisha tangu nasoma ,Nimetoa traders wengi sana wala sijawahi omba at mia yao,well unasema kuchukuwa pesa sokoni ni ngumu yes ni ngumu ndio haswa. Inahitaji usiwe na uhitaji nazo ndio unazichukuwa vyema ila ukiwa na pupa hata sent uchukuwi, alafu kupoteza kawaida mi nshapoteza miezi mfululizo no profit ila tatizo iikuwa sikolojia, alafu saiv trading sio kama zamani kuna funding acc nami ndo nina trade sana izo 100k funded na nipo up 10percent
Hold on your animal brainWe unataka ni prove then what next we kwani ni Investor ungekuwa investor sawa yani kwa akili yako yote nashindwa kuwa hata na 50k funded nikose hata 10pips kweli siku nzima alooh tufanye Am poor trader case closed.
Mkuu mwisho wa siku wanalipa kweli?
Siwamini sana
Wanapay ni usivunje vigezo tuSiwamini sana
Kutokana na ukuaji wa teknolojia Kila kitu kinawezekana kwa Sasa....Hii fx inanichanganya sana mm Kuna jamaa yangu broker wake ni MTFE na ishu ya signal anatumia robot ndo linatrade,ananishawishi niingie huko lkn moyo wangu umekuwa ngumu sana nawaza robot ndo linitengenezee pesa?je kitu hiki ni possible?nahofia inaweza kuwa kudiposit ni simple ila kuwithdraw ikawa nongwa
So you teach for free?Mkuu mi sio mentor ila napenda kufundisha tangu nasoma ,Nimetoa traders wengi sana wala sijawahi omba at mia yao,well unasema kuchukuwa pesa sokoni ni ngumu yes ni ngumu ndio haswa. Inahitaji usiwe na uhitaji nazo ndio unazichukuwa vyema ila ukiwa na pupa hata sent uchukuwi, alafu kupoteza kawaida mi nshapoteza miezi mfululizo no profit ila tatizo iikuwa sikolojia, alafu saiv trading sio kama zamani kuna funding acc nami ndo nina trade sana izo 100k funded na nipo up 10percent
It's only in trading endeavor where others declare to love their human beings. While in this capitalism world aka dog eats 🐕. Unaambiwa ama unahubiriwa upendo ukishaamini unaliwa kilaini mno.Mkuu mi sio mentor ila napenda kufundisha tangu nasoma ,Nimetoa traders wengi sana wala sijawahi omba at mia yao,well unasema kuchukuwa pesa sokoni ni ngumu yes ni ngumu ndio haswa. Inahitaji usiwe na uhitaji nazo ndio unazichukuwa vyema ila ukiwa na pupa hata sent uchukuwi, alafu kupoteza kawaida mi nshapoteza miezi mfululizo no profit ila tatizo iikuwa sikolojia, alafu saiv trading sio kama zamani kuna funding acc nami ndo nina trade sana izo 100k funded na nipo up 10percent
NakaziaBora ukafanye kilimo