chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 2,907
- 3,085
ukisoma thread yako between line tayari unaupande ulioegemea
110% Correct..Kwa hiyo mchezo wa parapata mtu anakuja mfano anaomba chenji ya 10,000. Then anarudisha 6,000 (bado anadaiwa 4,000) halafu anaomba 4,000 (-8000), anakuja kulipa 5,000 (-3,000) anakuja kukopa tena 6,000 (-9,000) mpaka mkepeshaji anasahau anachodai!!!
Na forex ipo hivyo kama ulivyoelewa!!!
....teh hee hee...kalikuwa kanapeapea humu kumbe kalikuwa jobless!?Nimependa kipengele kuhusu Nifah, nami nitaenda mjengoni kumsabahi..
Godoro janja sana, likielemewa uzito linabonyea, style ikibadilika linatuna tena kama mwanzo.Wanapogombana nyati ziumiazo ni nyasi... Lakini kipindi hiki nyasi hazijaumia zimefaidi sana.. Ni sawa na godoro linavyofaidi wakati wawili wakifanya ngono kitandani... Yoyote atakayekuwa chini ya mwenzake support yake ni godoro, style yoyote support yake ni godoro!!! Zile KWICHI KWICHI ni kelele na malalamiko ya kitanda si godoro.
Kwani unamuogopa nani, kuwa muwazi tu..Tafsiri yako sio yangu
Aisee hii nayo ni comment...!!! Shikamoo FOREX... Bahati mbaya sana hata PARAPATA yenyewe huifahamu mpaka unaandika PARAKACHA sijui ulidhani PARAPATA ni karata tatu?Kila mtu ni gwiji wa Forex hadi vigagula nao wanajifanya wajuvi wa hii kitu, maajabu!
Forex inapotoshwa sasa, kufananisha forex na mchezo wa kitapeli wa PARAKACHA ni ujinga wa kiwango cha psychic!
Na wewe umeliwa?forex inahitaji kusoma sana vitabu,kufuatilia sana news. tweet moja tu ya kichwamaji trump inaweza kukuchomesha account! ni bora uwekeze laki 2 kwa kubet mechi 1 tu sportpesa wana markets 13+ utaweza kuvuna 30k daily. forex,bitcoin tuachieni guru's!.