Forex ni scam au real?

Baada ya kuangaika Sana kujifunza kutrade niliamua kusoma kwa kulipia kwa jamaa fulan wanaitwa urban forex. Baada kuelewa kutrade nikagundua kitu.

Watu wengi wanaknowlege nzuri na strategy zao ziko vizuri. Kinachowashinda ni kwamba hazipo structure au hazipangiliwa kuanzia kwenye kuchagua pea mpaka kwenye entry na Kuna trick ambazo pro trader wanazitumia ambazo zinacontrol emotion zao katika market na kuwasaidia kukontrol risk etc na mwisho stop loss na money management trick.

Ukiweza kujua sehemu sahihi ya kuweka stop loss then ni rahisi kutoisogeza na kukubali loss .....then hapo ndio inabid uanze kuwaza ishu za spread, brocker, screen nk ...just opinion tu
 
You loose you learn you win you learn na si tofauti na hapo weka hasira na emotion pembeni usipoogopa kupoteza basi umefanikiwa
 
Back
Top Bottom