Forex ni kitu cha kweli au udanganyifu tu na kupigwa hela?

Ni kitu ambacho nimekua nakiona sana saivi na naona watu wengi wakitamba mitandaoni kwamba wanapiga hela ya kutosha Forex. Mtu anatengeneza mpaka milioni 3 za kitanzania kwa siku. Kiukweli nimeshawishika kuingiza mguu kwenye hii biashara japo ni jambo ambalo nitatakiwa kua mvumilivu kwa muda mrefu katika kujifunza.

Sasa wasiwasi wangu ni kitu kimoja tu, hii kitu ni Real au tunadanganywa tu. Maana nje ya mitandao sijawai kukutana na mtu anapiga mpunga Forex
Weka hela, acha kuuliza sana maswali utachelewa kutoboa
 
Ni kitu ambacho nimekua nakiona sana saivi na naona watu wengi wakitamba mitandaoni kwamba wanapiga hela ya kutosha Forex. Mtu anatengeneza mpaka milioni 3 za kitanzania kwa siku. Kiukweli nimeshawishika kuingiza mguu kwenye hii biashara japo ni jambo ambalo nitatakiwa kua mvumilivu kwa muda mrefu katika kujifunza.

Sasa wasiwasi wangu ni kitu kimoja tu, hii kitu ni Real au tunadanganywa tu. Maana nje ya mitandao sijawai kukutana na mtu anapiga mpunga Forex
No surprise that new traders will likely encounter the fear of the unknown because the picture is painted bright and rosy, till reality sinks in.

Most are attracted to trading because of the freedom it can bring and the near-zero physical work involved, just a click of the mouse. However, what goes behind the scene is seldom talked about and much less publicized.
 
Wewe ulisha wahi shuhudia meseji ya muamala mtu katoa hata usd450 kwa mkupuo?
Mbona kawaida tu mkuu, 450usd is not a big deal

Screenshot_20220723-233705.png
 
Katika kozi kabla ya kusoma hakikisha unamuuliza course content before kulipia contents nzuri kwa uzoefu wangu zinachezaa na haya yafutavyo;
# market structure
#ICT
#BTMM
#SMC, SMART MONEY CONCEPTS
# QUARTERLY THEORY.
# INVALIDATION POINTS OR TURNING POINT.
# LIQUIDITY GRAB
Na mengine mengi wanasoma.
Hapo kwenye ICT ndiyo penyewe,kujifunza jinsi Central Banks wanavyotumia algorithm katika ku-deliver price,ku-provide liquidity na jinsi ya ku-capitalize kwenye liquidity ambayo imekuwa provided.Mungu bariki sana tumbo lililomzaa Mr.Michael Huddleston🤗🤗🤗
 
hapana ni pesa watumiwa skrill ukiwa wa kwanza hadi wa sita mwenye kukuza dola elf tano. hadi kiwango chajuu zaidi ua washiriki wote with lessdraw down of 30pcnt
mtu akihitaji kujiunga Kwenye hiyo challenge anafanyaje mkuu
 
na wengine mnaotaka kujiunga demo challenge earn real money pm ipo wazi siombi ela ni nguvu yako t
 
Ni kitu ambacho nimekua nakiona sana saivi na naona watu wengi wakitamba mitandaoni kwamba wanapiga hela ya kutosha Forex. Mtu anatengeneza mpaka milioni 3 za kitanzania kwa siku. Kiukweli nimeshawishika kuingiza mguu kwenye hii biashara japo ni jambo ambalo nitatakiwa kua mvumilivu kwa muda mrefu katika kujifunza.

Sasa wasiwasi wangu ni kitu kimoja tu, hii kitu ni Real au tunadanganywa tu. Maana nje ya mitandao sijawai kukutana na mtu anapiga mpunga Forex
Ukitaka biashara za kutabiri, tabiri mpira wa miguu.

Kujifunza forex utaumiza kichwa sana. Juhudi utakayotumia ni rahisi zaidi kujifunza kusoma takwimu za mpira na kutambua tabiri za uhakika. Ila uwe mvumilivu usipende mikeka. Chambua kwa undani mechi kama 100 kila siku, lakini weka utabiri wa timu moja hadi tatu tu kila siku, unachovuna rudisha chote kwenye utabiri unaofuata.

Watu wenye vichwa vya kuweza kuelewa Forex ni wachache. Kwa hiyo kinachoendelea ni kwamba watu wanatengenezewa michezo ya piramidi kwa kisingizio cha Forex. Sasa humo kama kawaida ya piramidi wa kubaki wameshika mapakacha ni wengi.

Narudia tena, kama una kichwa cha kuelewa Forex, basi utaburuza sana kwenye kutabiri mpira wa miguu.
 
Back
Top Bottom