Forex: Biashara Haramu kwa Muislamu

Mkuu riba ni riba tu iwe direct au indirect. Kupitia mikopo, pale huwa kuna riba ya moja kwa moja, na kupitia biashara kuna riba iliyobatizwa jina la faida ambayo ni indirect interest.
NI KWELI.
 
hebu nieleweshe ww uliyeelewa, maana najua wafuata bendera mko wengi, lete dalili juu ya hilo
Kwenye maelezo aliweka maelezo ya council na walipo highlight kwa red, just read btn lines
 
Yaani kukata riba ndio uone pepo, shekh kuona pepo ufanye kazi mtume kangoka meno
 
somo zuri sana mi mwenyew nilikuwa interested na hiyo biashara mara tu nilipokutana nayo ila kabla ya kufanya lolote niligoogle kutafuta fatwa ya hiyo biasha kayika sheria za kiislam...
 
somo zuri sana mi mwenyew nilikuwa interested na hiyo biashara mara tu nilipokutana nayo ila kabla ya kufanya lolote niligoogle kutafuta fatwa ya hiyo biasha kayika sheria za kiislam...


Naam kaka, hongera kuliona hilo mapema
 
Kununua hisa za kampuni si haramu kiislamu. Sababu unakuwa mmoja wa wamiliki wa kampuni/biashara. Ila hiyo kampuni unayonunua hisa isiwe inajihusisha na biashara haramu: ( mfano pombe, kamari, hisa za mabenki zinazojihusisha na riba etc)


Pengine unaweza ukawa huielewi vizuri biashara ya Forex!

Kufanya forex ni sawa na kununua hisa kwenye uchumi wa nchi husika, kwa mfano kama unanunua Dollar kwa kuuza Pound. Ni sawa na kununua share kwenye uchumi wa nchi ya marekani. Hivyo gawio la faida halina utofauti na lile litokanalo na gawio la faida kwenye kampuni za kawaida.
 
Ni kweli ujumbe utakuwa umefika ila itakuwa ni sawa na kumwambia chid benz aache kula awa za kulevya ikiwa tayari amekwisha onja.


Watu watapiga porojo zao humu weee lakini
Kikubwa ujumbe umefika
Ahsante sana mkuu kwa elimu hii
 
Yaani kukata riba ndio uone pepo, shekh kuona pepo ufanye kazi mtume kangoka meno

Kwa hiyo kukubali riba ndio utaiona pepo???

Na kwa maana hiyo, kama Mtume kang'oka meno tule riba sababu pepo kuipata ufanye kazi kweli kweli sio...???

Ndio uelewa wako wa dini ya Mwenyezi Mungu huo?!

Innallilah wa inna illayhi rajiun
 
Biashara yoyote ile ni haramu kama ni ivyo kwa imani hiyo.
Mana kwanza biashara ni wizi uliokubalika.
Unanunua kitu elfu kumi afu uuze 12k hauoni hapo kama unamuibia alfu mbili jamani.ila watu MNA dhambi
 
uko vyema MKUU endelea kuelmixha watu kwa hoja
 
Riba ni kile kiasi (fedha/mali) unachopata baada ya kufanya biashara (iwe ya kukopesha ama nyingine) , tofauti na mtaji wako wa awali. Najua wengi tafsiri yenu inaishia kwenye riba ya mkopo. But mkuu, mimi naheshima imani yako.
duuuu ndugu yangu maana hyo umeichimbua sayar gan?
 
kundi kubwa LA watu au nchi za kiislam kufanya jambo ambalo linapingana na SHERIA hakufanyi kuhalalisha jambo hlo au kufanya ndo ushahidi was jambo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…