Forex: Biashara Haramu kwa Muislamu

Refer reply na. 116 imetoa mwanga kidogo
Shukran mkuu, imetoa mwanga sana mkuu tena Muslim World League ni chombo kikubwa sana ktk kutoa hukumu za mambo makubwa na yenye kusumbua kama haya
 

Safi mkuu, nimeipandisha kwenye uzi juu.. Jazakallah Khayr
 
Sio kweli.. hivi mfano wewe umenunua bidhaa kwa Tsh 100,000/= ukaenda kuuza kwa Tsh 250,000/= , faida yako ni Tsh 150,000/=, riba iko wapi hapo? riba ni kukopa Tsh 100,000/= ukaambiwa urudishe Tsh 250,000/=


Basi kwa tafsiri hii sijaona uharamu wa Forex.
Kwenye Forex tunanunua USD ikiwa na thaman ndogo, then tunasubiri ipande thamani tunauza.
Sasa hapo riba iko wapi.
 


Ustaz mwenzangu unajipalia mwenyewe.
Sasa mbona na Forex kuna faida na hasara, iweje iwe Haramu....
Huo Uharamu wa Forex sijakupata kabisa.
 
Itafasri kwa kiswahili mkuu itapendeza zaidi

Haina haja ya kutafsiriwa kwa Kiswahili, itapoteza maana halisi sawa na kutafsiri Physics au Organic Chemistry kwa Kiswahili.. Swahili lacks enough vocabulary for technical terms used therein.

Pia wote wanaojiingiza kwenye Forex, mafunzo/elimu hupata kwa English. So, hawatopata tabu kuelewa
 
Wenye dini yao huko Saudi Arabia ndio manguli wa kucheza forex,leo sisi wa kuletewa tu tunataka kuishika hadi kumpita aliyeileta!
 
Tatizo kubwa la nowaday's muslims wanaacha misingi ya dini yao na kila mtu anajiona ni m'bora kuliko mwingine just because kaacha kufanya kitu fulani lakini nyuma ya pazia anafanya kingine...

TUMCHE MWENYEZI MUNGU KATIKA UKWELI WA KUMCHA.
 
Halafu Forex nyingi hapa mjini zinamilikiwa na Waarabu wenye dini yao, nyie Waafrika mliovamia ustaarabu wa Waarabu na dini yao ndo mnajifanya kujua sana. Waafrika tuko na shida sana toka tuache kutambika
 
Kama hujamwelewa mpaka hapa, hutokaa uelewe mpaka utoe hiyo shield, unajipanga kubisha utaelewaje? Kwa maelezo marefu, yenye mifano na video clip bado tu hujaelewa?
 
Kama hujamwelewa mpaka hapa, hutokaa uelewe mpaka utoe hiyo shield, unajipanga kubisha utaelewaje? Kwa maelezo marefu, yenye mifano na video clip bado tu hujaelewa?
 
Kama hujamwelewa mpaka hapa, hutokaa uelewe mpaka utoe hiyo shield, unajipanga kubisha utaelewaje? Kwa maelezo marefu, yenye mifano na video clip bado tu hujaelewa?
hebu nieleweshe ww uliyeelewa, maana najua wafuata bendera mko wengi, lete dalili juu ya hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…