nakuhakikishia mkuu utatembea wewe. Utataka kila mtu awe rafiki yako. Utawafanyia biashara wamerakani mpaka uchoke. Wewe ni afisa masoko usiyelipwa. Ni kazi ngumu sana kupata faida huko. Nakushauri fikiria kingine. Wenzako tulishatoka hUko miaka mingi.